Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,117
- 49,472
Unanunua ya ungaKulingana na sehemu unayouzia kama sehem za ushuani basi bei inakua juu ila kama mitaan bei inakua sh 50 au 100.
Kwa uswahilin weka ubuyu pekee bila maziwa kuondoa gharama kubwa. Pia maziwa sio mpaka kopo la nido hata yale ya ngombe nayo wanatengenezea barafu.
Ili uwe na uzoefu zaidi wa biashara ya barafu ununue moja uionje,katika kuonja huko utagundua vitu vilivyohusika kuitengeneza barafu hio. Fanya kautafiti hako kisha utajua faida zake na hasara zake. Na jinsi wanavyofunga(kiwango cha barafu hizo)
Yanapimwa dukani kwa wapemba