Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,908
Ni tag kwenye iyo videoMkuu angalia kuna video ipo inaonyesha
Ni tag kwenye iyo videoMkuu angalia kuna video ipo inaonyesha
Ni tag kwenye iyo video
Angalia sekunde ya 33 kunapicha ya box la huo unga.
Mahitaji
(kwa mahitaji haya utatoa zaidi ya pisi 200 za barafu ukitumia vifuko vya size 1¼ X 10)
Maji lita 7
Maziwa ya unga 1 cup (brand yoyote)
Unga wa wanga (corn starch) 2 cups uchanganye na maji lita 1.5 (unga wa wanga unauzwa supermarket) au sokoni unga wa ubuyu
Sukari kilo 1¾ (waweza punguza)
Chumvi ½tsp (ukipenda)
Utaweka ladha uipendayo (vanilla, mango, chocolate, pineapple, nk) Mifuko 300 ya kufungia ice candy (mifuko ya barafu)
HATUA:
1. Weka maji lita 7 kwenye sufuria kubwa na weka jikon yachemke, ongeza sukari na chumvi(ukipenda), kisha changanya vizuri hadi viyeyukie humo .
2. Ongeza ile corn starch na maziwa ya unga kwenye hayo maji yanayochemka, koroga vzr ili kusitokee mabujabuja, chemsha kwa dk 8, kisha zima jiko, acha ipoe kwa saa kadhaa kisha ongeza ladha uipendayo.
3. Funga kwenye vile vifuko na gandisha hadi ziwe barafu.
Kibanga Ampiga Mkoloni kwa hayo maelezo hapo kwenye red, inaonesha unatumika kama ilivyo ubuyu si ndio!!?
Yaani nilimaanisha bei kama unafahamuUkinunua kama ulivyo kawaida unaupika then unauchuja.
Aisee! Anaendelea mdogomdogo hanisumbuisumbuiVipi anaendeleajw na biashara?
Angalia sekunde ya 33 kunapicha ya box la huo unga.
Ni wauzie bei gani wanafunzi ili niweze pata faida ka hako kamfuko?!Mahitaji
(kwa mahitaji haya utatoa zaidi ya pisi 200 za barafu ukitumia vifuko vya size 1¼ X 10)
Maji lita 7
Maziwa ya unga 1 cup (brand yoyote)
Unga wa wanga (corn starch) 2 cups uchanganye na maji lita 1.5 (unga wa wanga unauzwa supermarket) au sokoni unga wa ubuyu
Sukari kilo 1¾ (waweza punguza)
Chumvi ½tsp (ukipenda)
Utaweka ladha uipendayo (vanilla, mango, chocolate, pineapple, nk) Mifuko 300 ya kufungia ice candy (mifuko ya barafu)
HATUA:
1. Weka maji lita 7 kwenye sufuria kubwa na weka jikon yachemke, ongeza sukari na chumvi(ukipenda), kisha changanya vizuri hadi viyeyukie humo .
2. Ongeza ile corn starch na maziwa ya unga kwenye hayo maji yanayochemka, koroga vzr ili kusitokee mabujabuja, chemsha kwa dk 8, kisha zima jiko, acha ipoe kwa saa kadhaa kisha ongeza ladha uipendayo.
3. Funga kwenye vile vifuko na gandisha hadi ziwe barafu.View attachment 683676
Sidhani ka italipa. Kopo la Nido bei yake sio mchezo.Siku hizi wengi wanauza sh 50 au sh 100
Sidhani ka italipwa. Kopo la Nido bei yake sio mchezo.
Ivi hizo ukiuza bei gani kwa ka mfuko ndo unaweza pata faida!?
Hivi haiwezekani kutumia unga wa sembe?Hapana usiweke chote weka vijiko vinne tu vinatosha
Uji wa unga wa ngano wapo wanaoweka na inakuwa laini ila inahitaji utaalam haswa kuupika huo uji bila kutoa mabonge mabonge.
Ukisaga mara mbili je!?Duh sembe haina ulaini mkuu