Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
Dah ahsante sana umeokoa jahazi, your my wife nitampa msingi wa hii kitu ili asinisumbuesumbue
Nalog off
Nalog off
Ahsante sana bi dada, je? Kile kichupa kimoja cha vanila kiwekwe chote kwenye mchanganyiko huu au.Mahitaji
(kwa mahitaji haya utatoa zaidi ya pisi 200 za barafu ukitumia vifuko vya size 1¼ X 10)
Maji lita 7
Maziwa ya unga 1 cup (brand yoyote)
Unga wa wanga (corn starch) 2 cups uchanganye na maji lita 1.5 (unga wa wanga unauzwa supermarket) au sokoni unga wa ubuyu
Sukari kilo 1¾ (waweza punguza)
Chumvi ½tsp (ukipenda)
Utaweka ladha uipendayo (vanilla, mango, chocolate, pineapple, nk) Mifuko 300 ya kufungia ice candy (mifuko ya barafu)
HATUA:
1. Weka maji lita 7 kwenye sufuria kubwa na weka jikon yachemke, ongeza sukari na chumvi(ukipenda), kisha changanya vizuri hadi viyeyukie humo .
2. Ongeza ile corn starch na maziwa ya unga kwenye hayo maji yanayochemka, koroga vzr ili kusitokee mabujabuja, chemsha kwa dk 8, kisha zima jiko, acha ipoe kwa saa kadhaa kisha ongeza ladha uipendayo.
3. Funga kwenye vile vifuko na gandisha hadi ziwe barafu.
Ahsante sana bi dada, je? Kile kichupa kimoja cha vanila kiwekwe chote kwenye mchanganyiko huu au.
Kuna wengine nasikia wana chemsha uji wa unga wa ngano na kuuchanganya na ice cream ili ziwe laini je ni kweli?
Nalog off
Shukran sana bi dada kwa hii elimu yakoHapana usiweke chote weka vijiko vinne tu vinatosha
Uji wa unga wa ngano wapo wanaoweka na inakuwa laini ila inahitaji utaalam haswa kuupika huo uji bila kutoa mabonge mabonge.
Kwahiyo kama itawezekana kuufanya ule uji wa ngano uwe laini, tunaweza kuutumbukiza mchanganyikoo huu?Hapana usiweke chote weka vijiko vinne tu vinatosha
Uji wa unga wa ngano wapo wanaoweka na inakuwa laini ila inahitaji utaalam haswa kuupika huo uji bila kutoa mabonge mabonge.
Ahsante sana, huku kwetu unga wa ubuyu haupo ila ubuyu upo, je ni njia gani niitumie ili niupate ule unga au nitumie hiyo lita 1.5 ya maji niuchanganye ubuyu wa kilo ngapi?Karibu sana mkuu
Ahsante sana, huku kwetu unga wa ubuyu haupo ila ubuyu upo, je ni njia gani niitumie ili niupate ule unga au nitumie hiyo lita 1.5 ya maji niuchanganye ubuyu wa kilo ngapi?
Nalog off
Ahsante sana bi dadaHata ubuyu wa mbegu unafaa,kilo moja au moja na nusu kwa lita hio ya maji. Tena wa mbegu unachemsha maji ya yanachemka kabisaa kabla ya kuipua unauweka ubuyu ndipo unaipua sufuria na kuukoroga kisha uache upoe halafu unauchuja. Hapo kama ni mwepesi sana ndipo unaweka kidogo uji wa unga wa ngano,ila kama ni mzito kiasi haina haja ya unga wa ngano bali unaweka sukari,vannila na rangi(unaweza tenganisha mchanyiko kwenye vyombo mbali mbali ili kuweka rangi tofauti)
Kama hauna vanilla unaweza weka juisi ya jolly
Mbona nijuavyo mimi maziwa yakikutana na acid hasa citrus acid iliyomo kwenye vitu kama limao, ndimu na huo ubuyu mara moja huganda vipi hapoMahitaji
(kwa mahitaji haya utatoa zaidi ya pisi 200 za barafu ukitumia vifuko vya size 1¼ X 10)
Maji lita 7
Maziwa ya unga 1 cup (brand yoyote)
Unga wa wanga (corn starch) 2 cups uchanganye na maji lita 1.5 (unga wa wanga unauzwa supermarket) au sokoni unga wa ubuyu
Sukari kilo 1¾ (waweza punguza)
Chumvi ½tsp (ukipenda)
Utaweka ladha uipendayo (vanilla, mango, chocolate, pineapple, nk) Mifuko 300 ya kufungia ice candy (mifuko ya barafu)
HATUA:
1. Weka maji lita 7 kwenye sufuria kubwa na weka jikon yachemke, ongeza sukari na chumvi(ukipenda), kisha changanya vizuri hadi viyeyukie humo .
2. Ongeza ile corn starch na maziwa ya unga kwenye hayo maji yanayochemka, koroga vzr ili kusitokee mabujabuja, chemsha kwa dk 8, kisha zima jiko, acha ipoe kwa saa kadhaa kisha ongeza ladha uipendayo.
3. Funga kwenye vile vifuko na gandisha hadi ziwe barafu.
Mbona nijuavyo mimi maziwa yakikutana na acid hasa citrus acid iliyomo kwenye vitu kama limao, ndimu na huo ubuyu mara moja huganda vipi hapo
Unga wa wanga!!! Ndio upi huo numbisa??Mahitaji
(kwa mahitaji haya utatoa zaidi ya pisi 200 za barafu ukitumia vifuko vya size 1¼ X 10)
Maji lita 7
Maziwa ya unga 1 cup (brand yoyote)
Unga wa wanga (corn starch) 2 cups uchanganye na maji lita 1.5 (unga wa wanga unauzwa supermarket) au sokoni unga wa ubuyu
Sukari kilo 1¾ (waweza punguza)
Chumvi ½tsp (ukipenda)
Utaweka ladha uipendayo (vanilla, mango, chocolate, pineapple, nk) Mifuko 300 ya kufungia ice candy (mifuko ya barafu)
HATUA:
1. Weka maji lita 7 kwenye sufuria kubwa na weka jikon yachemke, ongeza sukari na chumvi(ukipenda), kisha changanya vizuri hadi viyeyukie humo .
2. Ongeza ile corn starch na maziwa ya unga kwenye hayo maji yanayochemka, koroga vzr ili kusitokee mabujabuja, chemsha kwa dk 8, kisha zima jiko, acha ipoe kwa saa kadhaa kisha ongeza ladha uipendayo.
3. Funga kwenye vile vifuko na gandisha hadi ziwe barafu.
Maziwa yasio chemshwa au ata yaliochemshwa!! Maana yanayotumika hapa ni yaliyochemshwaMbona nijuavyo mimi maziwa yakikutana na acid hasa citrus acid iliyomo kwenye vitu kama limao, ndimu na huo ubuyu mara moja huganda vipi hapo
Dah ahsante sana umeokoa jahazi, your my wife nitampa msingi wa hii kitu ili asinisumbuesumbue
Nalog off
SiufahamCorn flower
Siufaham