Jinsi ya kutengeneza barafu za kula (ice cream)

Habari za majukumu wakuu,

Naomba mwenye ujuzi wa biashara ya barafu (ice cream) anisaidie kujua mahitaji na jumla ya gharama inayo hitajika ili nianzishe biashara ya barafu na mbinu za kufanya ili nipate faida
 
Mifuko yake sh. 1000 inakaa 100
Sukari nusu sh.2,800
Flavor yoyote nzr mfano vanila,orange sh.1,500
Kalainishi sh.500
Ukwaju au ubuyu wa 1500
MAANDALIZI
_Chemsha ukwaju wako mpk uchemke,kisha acha upoe
_uchuje ili kuondoa mbegu
_chukua kiasi kidogo km kijiko kimoja cha kilainishi,chukua na juice kidogo ya ukwaju uliochuja,weka kwenye blender,saga vzr huku ukiongeza ile juice yako ili isiweke mabonge
kisha ichanganye na ile juice ingine,koroga vzr na uweke sukari kiasi na flavor yako kifuniko kimoja
onja sukari km imekolea vzr na angalia uchachu kama upo sawa
Maji yakutengenezea unakadiria
MSIPOELEWA MNAWEZA KUULIZA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Mkuu nimetulia ngoja nikupe ABC japo kidogo kwa uzoefu wangu,

Mahitaji:

Freezer kubwa kutegemea na uhitaji wako lakini pia pesa uliyo nayo.

Mifuko ya plastic ya kufungia barafu,ipo ya barafu za hamsini na barafu za mia au kutegemea uhitaji na soko lako.

Pia kuna juisi za unga ambazo zinauzwa kwa jagi lenye packet 72,kwa mwanZa ambako Mimi huchukulia mahitaji,jagi huuzwa sh 6000

Lakini pia kuna tangawizi ambayo Mimi huweka ili kutia/ kuongeza radha ya barafu lakini sio mhimu sana au kuna chupa furani ambazo huwa na kimiminika chenye kuongeza radha( flavours)

Kwa Mimi jagi moja lenye packet 72 linauwezo wa kuniingizia faida ya shilingi 40 elfu ila inaweza kuzidi hadi kufikia 70 elfu hii hutegemea ukubwa wa ice cream zako,Mimi hutengeneza kubwa ili kuvuta wateja,na barafu huwa na wateja wengi wakati wa kiangazi ambapo jua Kali huwalazimu watu kupata kitu cha baridi ili kupoza koo,kama una freezer kubwa jagi moja lenye packet 72 laweza isha within a day na kukuacha na faida ya almost 40 to 70 thousands,

Biashara hii inafaida kubwa sana lakini wengi huidharau na kuona kama ni kupoteza muda lakini pia hakuna cha kusumbuliwa na government juu ya maswala ya kodi licha ya faida kubwa iliyonayo

Kama kuna. sehemu hujaelewa mkuu uliza nikueleweshe
Habari za majukumu wakuu, naomba mwenye ujuzi wa biashara ya barafu(ice cream) anisaidie kujua mahitaji na jumla ya gharama inayo hitajika ili nianzishe biashara ya barafu na mbinu za kufanya ili nipate faida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wapi huko wanako uza mifuko ya barafu kwa sh 1000 ili nianze kuwaletea na kuwauzia,mifuko ya barafu inakuwa 100 na inauzwa sh 250 hadi 350
Mifuko yake sh. 1000 inakaa 100
Sukari nusu sh.2,800
Flavor yoyote nzr mfano vanila,orange sh.1,500
Kalainishi sh.500
Ukwaju au ubuyu wa 1500
MAANDALIZI
_Chemsha ukwaju wako mpk uchemke,kisha acha upoe
_uchuje ili kuondoa mbegu
_chukua kiasi kidogo km kijiko kimoja cha kilainishi,chukua na juice kidogo ya ukwaju uliochuja,weka kwenye blender,saga vzr huku ukiongeza ile juice yako ili isiweke mabonge
kisha ichanganye na ile juice ingine,koroga vzr na uweke sukari kiasi na flavor yako kifuniko kimoja
onja sukari km imekolea vzr na angalia uchachu kama upo sawa
Maji yakutengenezea unakadiria
MSIPOELEWA MNAWEZA KUULIZA

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kurahisisha,kuokoa muda na nguvu kazi anunue zile U-fresh za pakiti zipo za ladha mbalimbali kutokana na uhitaji wake,anatia kwenye freezer zikiganda anauza kama barafu(ice cream)

Back
Top Bottom