Asiliatz
Member
- Aug 16, 2018
- 97
- 131
Habari wakuu!
Ni laptop aina ya hp elitebook 8440p, ilikuwa haina betri umeme ukazima baada ya kuwasha ikawa inaishia kwenye mistari kama picha inavyoonekana.... Ukizima na kuwasha tena inaandika "Automatic repair could not repair" ukizima nakuwasha tena inarudikwenye kuonesha mistari.
Haijaendelea zaidi ya kujiridia hayo matatizo, jaribu kufanya njia nyingi baada yakusoma mtandaoni lakini bado (ikiwemo RegBack, reset imegoma, safemode).
Nimechomoa HDD nimeunganisha kama external kwenye pc ingine haisomi.
Msaada tafadhali kwa aliyewahi kukutana na hili tatizo na akasolve au anayeweza changia njia za kusolve hili tatizo.