Jinsi ya kutafuta soko la sabuni za mche

Consolata2000

Member
Apr 13, 2013
40
4
Habari zenu. Kwasasa ninajishughulisha na mradi wa kutengewneza sabuni za miche za kufulia. Kwa sasa niko ktk process ya kutafuta soko. Je, nipite duka moja moja kuwauzia au niwauzie wenye maduka ya jumla? wenye uzoefu watusaidie tafadhali..
 
Swali lako ni simple but need a complecated answer, maana hujatoa maelezo zaidi, like how big is your production??? Kwa kuanza nigekushauli uanze na maduka madogo hasa hapo mtaani kwako na ukisha ridhisha soko lako u can expand your distribution network yako, hii vile vile itakuwezesha kupata koment kuhusu biashala yako(sabuni zako zina qualite gani? Je watu wanazipenda na kuzinunua??? Kwa bei ipi??) Nakuhisi usije tawaliwa na tamaa ya kutafuta soko kubwa bila kupata taarifa nilizo taja hapo juu, by doing that and working on the feed back you will have created an evelasting system which in return will create wealth for you and your entire family
Kumbuka wahenga walinena:- MWENDA POLE HAJIKWAI, AKIJIKWAA HANGUKI
Take your time to create your system , tayali uko na product and the only missing item is the system to turn your product into money

Kama kuna lingine waweza kuni pm and I will do my best to help
Keep it up
 
Back
Top Bottom