Jinsi ya kutafuta kazi sehemu ya pili .

Jul 1, 2018
8
14
Wadau wasalaamu! Naomba radhi Kwa kuchelewa kuandika tena kuhusu mada hii kama ambavyo niliahidi. Naomba kuendelea kuongelea mambo mawili matatu walau yanaweza kusaidia Kwa namna moja au nyingine.

Mara ya mwisho niliishia kwenye utumiaji Wa mtandao Wa internet na mitandao ya kijamii kama platforms za kupata taarifa za kazi na kufanya maombi. Naomba tu kuendelea kukazia kwamba kuna mitandao ya kijamii ni mizuri Kwa watu wanaotafuta kazi mfano mtandao Wa linkeldn ni mzuri mno kwani unaweza kikuu gani sha moja Kwa moja na recruiters na hiring managers lakini inakupata kutumia very professional mathalani tengeneza profile yako kiustadi na uweke maelezo yako na uzoefu wako Wa kufanya kazi inaweza kukusaidia siku mbeleni Mimi nimewahi kupata kazi Kwa njia hii ya recruiter kuangalia tu Profile yangu (see screen shots). Hivyo Kwa uelewa wangu naona ni jambo zuri kufanya hivi.

Jambo lingine muhimu ni utumiaji Wa internet yenyewe Kwa kiasi kikubwa kuna vitu ambavyo ni very basic na hakuna sehemu chuoni unaweza kufundishwa nacho ni matumizi ya email watu wengi ni Wasomi wazuri na wenye uwezo lakini unakuta anashindwa hata kutumia barua Pepe . Ninaposema kutumia email namaanisha kutumia professional language, kufanya attachment , kuandika subjects na n.k ukituma maombi hovyo hakuna anataye angalia kuna friend wangu mmoja he was struggling other having a job nikamuomba nitumie cv yako nikusaidie kuitengeneza maana unaweza kuwa unafanya maombi lakini Kumbe tatizo lipo kwenye cv sasa nikashangaa ametuma email empty nikamwambia mbona hujaaatach chochote akasema mbona nimetuma? Au nilivyoandika pale kwenye subject cv ndiyo nimekosea ? Nikamwambia hapana hujakosea Ila hujafungasha chochote nikaona lugha gongana nilisikitika sana Maana ni mtu namfahamu uwezo wake ni mzuri Ila vitu vidogo kama hivi vinaweza kukusababishia ukawa disqualified, wazungu wanamsemo wao unasema the different between ordinary and extraordinary is that little extra , yaani ni vitu vidogo vidogo ndiyo vinavyotutofautisha hata kama kila kitu Tupo sawa nadhani nimeeleweka hapo.

Swala lingine ambalo naliona ni kwamba kwenye kutafuta kazi usitie huruma, mtu kukupa kazi kwasababu amekuonea huruma ni mara chache mno Mara nyingi utapewa kazi kwasababu unafaa kwenye kazi husika hivyo kuonesha unatia huruma na kutaka matatizo yako ndiyo yakusababishe upate kazi it's simply unakosea na hapa ndipo hata Ma HR wasio na weledi wanpopatiaga fursa ya kufanya yao , always stand in professional side of view act professional usitake huruma ya mtu hvyo hivyo unatakiwa kuwa wakati Wa Interview na hata kunegotiate salary mambo ya kutaka ulimpwe chochote tu kisa you have problem ! smart HR hawezi kukuchukua kwani pamoja na mambo mengine wana kupima jnsi gani unathamini kazi yako na jinsi gani unajiamini kwani kulalama malipo wakati umeshasaini mkataba its unprofessional.

Nitaendelea.... all the best .
IMG_9357.JPG
 
Nitaendelea.... all the best .View attachment 927541
Godbless u
 
siku zote thread nzuri kama hizi huwaga hazifikishi hata comment 20 , anyway Mungu akubariki kwa kuutumia muda wako kuandika thread hii
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom