Jinsi ya kuset header na footer tofauti kwenye MS word 2007

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Ni mara nyingi wengi wetu tumekuwa tunapeleka papers kwenye journals au conferences,hawa jamaa huwa na masharti yao mengi haswaa kwenye muundo wa hizo papers,nina maanisha ni jinsi gani inatakiwa iandikwe na kupangiliwa.
Binafsi nina rafiki yangu mmoja wa karibu ambaye ni mtumaji mzuri wa papers amekuwa akitatizwa na matatizo kama haya hivyo kunisukuma kuandika haka kajielimu nikiamini kuwa itawasaidia watanzania wachache ambao bado hawana huu ufahamu.Kwa wenye ufahamu munaweza kuchangia ni jinsi ganii ya kuongeza mautabe

Tatizo: Unatakiwa kuandika paper ambayo ina footer kwenye page ya kwanza tu

Suluhisho: Hii tutaisolve kwa step zifuatazo

-->1. Tayarisha document yako ambayo unataka kuiwekea footer
-->2. Chagua Insert->footer(hapa utaona machaguo mengi,chagua style unayopendezwa au unayotakiwa kufuata)





-->3.Baada ya kuchagua na kuandika footer unayoitaka utajikuta upo kwenye Design,sasa angalia kwa chini utaona kuna vibox vitatu.chagua kilichoandika Different First Page Pia kuna wakati unaweza kuambia footer ya page ya mbele na ya nyuma isiwe sawa.then hapa utachagua Different ODD & EVEN pages.



Mada hii imeletwa kwenu kwa idhini ya Afroit Forum-ICT Kijiji
 
Back
Top Bottom