Jinsi ya kusave mafuta unapoendesha vvt-i cars

g4cool

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
424
198
WANDUGU,
Habari za mchana, najua wengi wetu humu tunamiliki au tunaendesha magari. na Magari mengi ya sasa ni yale yanayotumia VVT-I technology, sasa kuna story nyingi za mtaani kuwa unaweza kuendesha gari hata kama ina CC 2000 na bado ukapunguza fuel consumption kwa kiasi fulani. sasa naomba kama tunaweza kushare hizo experience without regarding the cc of the car ili tuone kama tunaweza kuokoa mafuta. Si unajua tena uchumi:smiling::smiling:
Ahsante na karibuni
 
Hakuna hiyo makitu mkuu,.

Uza hiyo uliyonayo hata kwa bei ya hasara ununue yenye cc ndogo hapo utakuwa umevuka maji la sivyo tenga budget ya kutosha katika suala la mafuta!!
 
Hakuna hiyo makitu mkuu,.

Uza hiyo uliyonayo hata kwa bei ya hasara ununue yenye cc ndogo hapo utakuwa umevuka maji la sivyo tenga budget ya kutosha katika suala la mafuta!!
hahahahahahahahah cc sio kubwa sana ni 1800 tu:A S 13:
 
hahahahahahahahah cc sio kubwa sana ni 1800 tu:A S 13:

Mkuu ulaji wa mafuta unachangiwa na vitu vingi. Hakikisha gari lako unalafanyia service kila km zikifika,plug,air filter hata tyre pressure ni vitu vya kuangalia na kubadilisha vinapochoka, inasaidia kwenye kulifanya gari li perform vizuri.
 
Sio kwamba nina CC 2000, was jas asking kama kuna mambo kama hayo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom