Jinsi ya kusajili line bila kwenda kwa wakala.help jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kusajili line bila kwenda kwa wakala.help jamani

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by chrisman49, Jun 1, 2012.

 1. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jinsi ya kusajili line bila kwenda kwa wakala.help jamani
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,770
  Likes Received: 7,080
  Trophy Points: 280
  hujaeleweka
  Kuna line za boom club na huduma ya boom club. Je we tayari ushaisajili line unataka ujiunge na huduma au ndo unataka kuanza upya.

  Kama untaka kuanza upya no way itabidi uende kwa wakala maana ni kama usajili wa line maybe kama una wakala ni ndugu yako
   
 3. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 836
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60

  Mambo mengine we yafuate tu kama yalivyo, tukitaka urahisi kwa kila kitu mwishoni tutaharibu,.
   
 4. Joendu85

  Joendu85 Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo kaka haina ujanja nenda tu kwa wakala ila unaweza kusajili temporarily kwa mwenzi mmoja kwa kupiga *106#

  Sent from my BlackBerry 9300 using Jambo Adverts Tanzania Networks.
   
Loading...