Hakuna Company ya Exploration, kama alivyosema mmoja hapo juu unasajili kwanza Kampuni BRELA kama kampuni zingine, halafu unachukua leseni inayoendana na unachotaka kukifanya,Uko nje ya nchi...unataka kuchimba madini...this is latest point ya mining....kwa maana halisi ni kwamba labda useme unataka kufanya exploration ya madini..tanzania..na hapo unasajili company ya exploration....
Unafanya utafiti maeneo yako then ukisha pata deposit ya kutosha ya madini kuweza kuchimba kwa mfani 5-10 Million Oz..(kipimo cha Gold)then unaweza ku apply Mining license.Ila unaweza at the same time ukawa na license mbili katika company moja nimeona kwenye company moja Tanzania royality company hawa wana licence ya mining and exploration..ila wamefanya kaujanja kamoja ka kuwa na company mbili katika mwamvuli mmoja.Moja ikiitwa mama na nyingine dada.
Kwa ushauli exploration mining tanzani ni ngumu sana hata ma kampuni makubwa sasa yanatapata shida kufanya kwa kuwa eneo kubwa la tanzania limeshafanyiwa utafiti unawe zakuwa na PL 100,100% ownership lakini ukifanya exploration kwa level ya kwanza haikupi matumaini kwenda level ya pili...at the end of the day inakuwa useless.
So kuwa makini sana unapo kuja kufanya mambo kam hii tanzania..most of wa wawekezaji wanakuja fanya JV(Join venture) na company zenye maeneo...kwani kuna about 50 - 100 exploration company kanda ya ziwa acha uko kusini mwa tanzania kwenye uranium.
Asubuhi njema
wadau habari. Naomba ufafanuzi wa namna na taratibu za kusajili kampuni
Nadhani modeHuu uzi uwe updated kwa kuweka njia mpya za kusajili kwa online system ya Brela (ORS)
Tunaomba Moderator mtusaidie ku-update kusajili kwa ors maana bila hivyo uzi hauna msaada tena.. Mi nimekuja mbio huku kujua usajili wa kampuni kwa njia mpya nimeshia kuwa dissapointedHuu uzi uwe updated kwa kuweka njia mpya za kusajili kwa online system ya Brela (ORS)
Kama nipo ubia na foreigner inakuaje kwenye limited company?Jambo ipo?
Kama hukupata majibu nipigie, kwa msaada
Nafanya shughuri hizi za usajili. Kwa haraka unapaswa uwe na kitambulisho cha taifa. Kama mpo wengi yaani wakurugenzi ama partners pia wanapaswa wawe nayo.
Nipigie 0778437201
1. Kwanza chagua jina halafu nenda Brela kasajili jina. It's a one day process.
2. Baada ya kupata 'OK' ya jina. Nenda kwa mwanasheria akuandalie documents mbili muhimu. Hii ni The Memorandum of the Company na Articles of Association copy nne nne. This is a Two days Job.
3. Unarudi Brella na kujaza forms na ku-submit na hizo documents na unalipia - applicable fees. This is another two days job.
In total 5 working days zinatosha kusajili kampuni. Ukianza Jumatatu, unamaliza Ijumaa. Kama una mkono mrefu, unaweza kufanyiwa kwa Fast Track na ukamaliza mambo yote in a day or two.
1. Kwanza chagua jina halafu nenda Brela kasajili jina. It's a one day process.
2. Baada ya kupata 'OK' ya jina. Nenda kwa mwanasheria akuandalie documents mbili muhimu. Hii ni The Memorandum of the Company na Articles of Association copy nne nne. This is a Two days Job.
3. Unarudi Brella na kujaza forms na ku-submit na hizo documents na unalipia - applicable fees. This is another two days job.
In total 5 working days zinatosha kusajili kampuni. Ukianza Jumatatu, unamaliza Ijumaa. Kama una mkono mrefu, unaweza kufanyiwa kwa Fast Track na ukamaliza mambo yote in a day or two.
Unaweza tuu kuandaa, hata hao wanasheria wana cut and paste tuu.Mkuu samahani, hivi hizi memorandum na article of association ni lazima aandae mwanasheria? Je kama una uelewa wa haya mambo na sio mwanasheria inakuaje hauruhusiwi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza tuu kuandaa, hata hao wanasheria wana cut and paste tuu.
Bandiko ni la 10 years ago, sasa everything is done online.
P
GreatJE PRIVATE COMPANY inasajiliwa namna gani?
Pia Tour Company inasajiliwa vipi?
Leseni ya Tour Operator ni 2000 US $ per year, je utawezaje kulipa bila hujaanza biashara? Kama bado sina wateja nitalipaje kodi?
Asante sanaHabari karibu ETJ.PROFFESSIONAL CONSULTANCY tunaweza kukusaidia kwa hitaji lako karibu wasiliana nasi kupitia etj.prof@gmail.com au +255764530882