Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Nakuja kwenu kuomba msaada, nataka kusaji jina la biashara/kampuni katika website ya Brela ila napata changamoto kwani naishia hatua ya awali tuu ya kuingiza email na taarifa zangu kama namba za kitambulisho cha taifa.

Nimekamilisha zoezi hili na kuambiwa kuwa taarifa zangu zimetumwa kikamilifu na kwamba nitapokea details kwenye email yangu , hapo sasa ndio mwisho wa zoezi kwani siku ya pili sasa hakuna email kutoka BRELA.
Kwa ambaye ameshafanya hili zoezi anipe uzoefu wake, wapi ninakwama?

Asanteni na karibuni kwa ushauri/msaada
 
Watafute hao jamaa
tapatalk_1558434911853.jpeg
 
Kwa kampuni ambayo ilisajiliwa nje ya mfumo wa kusajiri online (yaani before Feb 2018). Kwa njia ya mtandao leo nawezaje kuiupdate?
 
Hatua ya kwanza unafungua akaunti brela Kwa kutumia kitambulisho cha taifa, kisha unafuata maelekezo kuna sehemu ya kuupdate
 
Hatua ya kwanza unafungua akaunti brela Kwa kutumia kitambulisho cha taifa, kisha unafuata maelekezo kuna sehemu ya kuupdate
mkuu sasa kama director hujapata kitambulisho cha taifa au director mmojawapo hajapata kitambulisho cha taifa, hapo itakuaje?
 
mkuu sasa kama director hujapata kitambulisho cha taifa au director mmojawapo hajapata kitambulisho cha taifa, hapo itakuaje?
sasa mliwezaje kufungua/kusajili kampuni bila hivyo?

anyway, lkn hata passport unaweza kutumia mbadala wa kitambulisho cha taifa.
 
Nakuja kwenu kuomba msaada, nataka kusaji jina la biashara/kampuni katika website ya Brela ila napata changamoto kwani naishia hatua ya awali tuu ya kuingiza email na taarifa zangu kama namba za kitambulisho cha taifa.
Nimekamilisha zoezi hili na kuambiwa kuwa taarifa zangu zimetumwa kikamilifu na kwamba nitapokea details kwenye email yangu , hapo sasa ndio mwisho wa zoezi kwani siku ya pili sasa hakuna email kutoka BRELA.
Kwa ambaye ameshafanya hili zoezi anipe uzoefu wake, wapi ninakwama?

Asanteni na karibuni kwa ushauri/msaada
Habari, umeshakamilisha usajili wa Kampuni yako?
 
Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.

Natanguliza shukrani zangu.

-------------------------------------
Jamani vipi kuhusu mtaji?

Labda unatakiwa uwe na mtaji wa kiasi gani?
 
Kuanza kampuni nisawa na kuanza familia tu kama wewe ni me unatafuta ke mnakaa pamoja mna anza kupanga namna ya kuanzisha kampuni mbona kitu rahisi tuu
 
MTU Wa pili au watatu sio shida nataka kujia procedures very serious

Jambo ipo?

Kama hukupata majibu nipigie, kwa msaada
Nafanya shughuri hizi za usajili. Kwa haraka unapaswa uwe na kitambulisho cha taifa. Kama mpo wengi yaani wakurugenzi ama partners pia wanapaswa wawe nayo.

Nipigie 0778437201
 
Back
Top Bottom