Tshs 20,000/=minimum income/capital kuweza kukubalika kama kampuni ni kiasi gan
kuna faida gan kujisajili kama kampuni ukilinganisha na kusajili biashara.......kampuni inakuwa na sifa gani hasaTshs 20,000/=
Mkuu maswali yako ni mafupi mafupi lakini ni mapana sana. Nami ntajitahidi kuyajibu kwa upana wakekuna faida gan kujisajili kama kampuni ukilinganisha na kusajili biashara.......kampuni inakuwa na sifa gani hasa
Asante nawe kwa kuuliza swali zuriasante mkuu ila hii ni waz kuwa ni hatua ya juu/hadhi kisheria kuwa na kampuni...walau nimepata mwanga nawengine mfn wangu...
Kwa sasa njia ni moja tu ya mtandao. Ambapo inabidi uwe na akaunt ya "ORS". Akaunti hii utafungua kwa kutakiwa kuwa na kitambulisho cha Taifa (Driving licence, passport, voting id havikubaliki)Kwani njia isiyo ya mtandao, yaani kusubmit katiba brela haipo tena au ndo mpaka mtandandaoni tu?
Hiyo memorundam inaingia ktk kampun yyte au uandaaji watofautianaSearch Jina
Sajiri jina,
kisha pambana na wanasheria kujaza fomu niniyokuambatanishia.
Ingia kwenye website yao, halafu nenda online registration, namba zao utazipata zote katika ukurasa.Nahitaji nina issue brela very urgent naomba mawasiliano ya mtu aliyeko pale anisaidie issue yangu
ShukraniIngia kwenye website yao, halafu nenda online registration, namba zao utazipata zote katika ukurasa.
Karibu
Business| Auditing| Tax| Logistics consultancy firm
Kwani Mkuu unataka kufanya biashara zipi nikiwa na maana biashara unayofanya sasa na nyingine ambazo unafikiri utafanya baadae?Hiyo memorundam inaingia ktk kampun yyte au uandaaji watofautiana
Ukihama si utawataarifu Brela unapohamia?au unataka uame kimya kimya?utapata usumbufuKwa mfano...baada ya kujisajili nikaamua kuhama location ambayo niliijaza mwanzo haina effects zozote
Kwa mfano...baada ya kujisajili nikaamua kuhama location ambayo niliijaza mwanzo haina effects zozote