Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MSAADA JINSI YA KUFUNGUA KAMPUNI, itakayojishughulisha na Kazi zifuatazo. PRINTING, USAFIRISHAJI MAZAO NA UNUNUZI MAZAO.
Nipigie nikuelekeze me nimeshafungua ni rahisi sana inashughulika na masuala ya media Ocean Media Group. 0764136922
 
hii unaanzia wizara ya mambo ya ndani ,hatua ya kwenda brela kwa ajili ya usajili ni baada ya kupata kibali cha wizara ya mambo ya ndani,ambapo barua hiyo utaambatanisha pamoja na documents za usajili wa company
Mkuu nikitaka uniandike MEMARTS gharama zako zikoje ?

Na kama nataka kusajiri kampuni 2 kwa mpigo kama eg Mkaruka Group of companies nitahitaji MEMARTS mbili tofauti ?

Na Je, Company Limited na Limited Liability Company ni sawa ?
 
ukitaka kusajili company 2 na unataka moja iwe holding company ,basi utaifanya hiyo ya kwanza ndiyo holding company(group of companies)ambayo baadaye itakuwa na hisa katika company nyingine ambayo ni subsidiary company.Limited Liability Company ndiyo hiyo hiyo niliyomaanisha .

Pia kuhusu gharama naomba tuwasiliane kwa Private Message, 0712742233 au kesh.west@gmail.com
 
Kwa anaejua napata wapi leseni ya biashara. Na Ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo Au kufuata ili nipate leseni.
 
Habari zenu wadau

Naomba kujua , hiv memorandum na article of association ni lazima aandae mwanasheria au yeyote anaweza aandaa ?

Naomba msaada kwa anaejua
 
Yeyote mwenye uelewa anaweza kuandaa, cha msingi umpatie vifuatavyo:
1: majina ya wakurugenzi
2: Kissia cha mtaji na share ya kila mkurugenzi
3: main objective ya biashara yako
4: address
5: jina la kampuni
6: uwe na uwezo wa kumlipa mtayarishaji

Asante
 
Mkuu nikitaka uniandike MEMARTS gharama zako zikoje ?

Na kama nataka kusajiri kampuni 2 kwa mpigo kama eg Mkaruka Group of companies nitahitaji MEMARTS mbili tofauti ?

Na Je, Company Limited na Limited Liability Company ni sawa ?
Njoo nikuandalie kijana
 
Yeyote mwenye uelewa anaweza kuandaa, cha msingi umpatie vifuatavyo:
1: majina ya wakurugenzi
2: Kissia cha mtaji na share ya kila mkurugenzi
3: main objective ya biashara yako
4: address
5: jina la kampuni
6: uwe na uwezo wa kumlipa mtayarishaji

Asante
Yeyote mwenye taaluma ya biashara au sheria mkuu
 
Kwa anaejua napata wapi leseni ya biashara. Na Ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo Au kufuata ili nipate leseni.
leseni hutolewa ofisi za halmashauri ya wilaya husika biashara ilipo Pia Leseni nyingine hutolewa na Wizara ya viwanda na biashara.,
kama ni Limited company watahitaji uwe na copy ya memorandum,copy ya certificate of incorporation,copy ya vitambulisho vya directors (vinavyoonesha uraia),copy ya TIN na tax clearance na mkataba wa pango ya ofisi,
kama ni businessname watahitaji copy ya certificate of registration na extract TIN na Tax Clearance ,ID na mkataba wa pango,
kama ni biashara isiyo na businessname basi TIN ya muhusika (iwe ya kibiashara au itafanywa kuwa ya kibiashara kama awali ulipata sio kwa sababu ya kuanzaia biashara),Tax clearance na mkataba wa pango.
vibali na viambatanisho vingine vya ziada vitategemeana na ni aina gani ya biashara
 
Back
Top Bottom