Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Naomba kuuliza
Nilienda TRA kwa ajili ya kupata TIN number ya kampuni, baada ya kulipa rental tax na stamp duty nikaambiwa nitafute muhasibu aniandalie provisonal return statement ndo nitapata tin number pamoja na tax clearance.
Au nimpe yeye 50k aniandalie.
Naomba kujua utaratibu ulivyo maana naona kama nataka kupigwa hela.
Pole,
Tanzania yetu ni rushwa.
Ingia tra portal na ufanye makadirio mwenyewe.

Ukikwama njoo kwa ushauri bure
 
Naomba kuuliza
Nilienda TRA kwa ajili ya kupata TIN number ya kampuni, baada ya kulipa rental tax na stamp duty nikaambiwa nitafute muhasibu aniandalie provisonal return statement ndo nitapata tin number pamoja na tax clearance.
Au nimpe yeye 50k aniandalie.
Naomba kujua utaratibu ulivyo maana naona kama nataka kupigwa hela.
Mpe
 
habarini wanajukwaa natuamini wote ni wazima wa afya na mlio na changamoto mungu awe nanyi katika kila hatua AMEN.
Naomba muongozo wa taratibu gani za kufuata ili kuweza kupunguza thamani ya hisa za kampuni. mfano katika memats ya kampuni tuliandika thamani ya hisa moja ni 2 million lakini tunataka kupunguza thamani ya hisa mpaka elfu 20 kwa hisa moja ili kuendana na hali halisi ya mtaji wa kampuni. wajuzi naombeni mchango wenu. ahsante.
 
Kuna fom za kujaza Nitafute wasap ntakuelekeza 0769488409. K
 
Unahitajika Ushauri
Nataka kufungua ofisi ya Carpentry(uselemala) na welding.
Lengo ni kuwa natengeneza ferniture za kisasa ndogo ndogo kama stool, table, vitanda nk
Kutengeneza kwa order milango na madirisha.
Note
Mimi sina utaalamu wa hizi kazi lakini naipenda.
Nataka niajiri vijana wenye utaalamu.
Je?
Mfumo mzuri wa malipo kwa wafanyakazi ni upi?
Mfumo mzuri wa kuhakikisha malengo ya kazi kwa siku yanafanikiwa ni upi?
Mfumo mzuri wa ulinzi wa vifaa na kuzuia wizi ni upi?
0e015faf3fa75df802cebca2c3ce4272.jpg
 
View attachment 2848151
mkuu mm pia sio mtaaalamu wa masuala hayo Wala sijawaho fanya biashara hiyo lakini jambo ninalokushauri
1. kuhusu mfumo wa malipo mkuu ni vyema ujue order ulizonazo au unazoweza pata kwa kipindi Fulani,
a) kama order huna uhakika nazo nakushaur utumie mfumo wa malipo WA piece work, yaan umlipe mtu kwa kazi aliyofanya kama nikwa unit au ukubwa Fulani ww utaamua
b) kama order zipo za uhakika piga hesaba mbili , moja Kwa piece work au kwa muda wa mwezi au week kishaa angalia ile yenye cost ndogo itumie

2) nadhani kuhakikisha ukamilikaji wa kazi kwa wakati ni Bora uwe una target ya kufahamu mmoja anaweza fanya KAZI Fulani kwa ukubwa Fulani(at minimum) lkn pia ni Bora utumie bonus kwa mtu ambaye atafanta kazi ya ziada kuliko kipimo kile cha kawaida ambacho umeweka nadhan itatia hamasa kwa watu wako

3. sina utaalamu hapa kabisa

N.B naruhusu kushauriwa na kukosolewa waluu
 
Asante kwa Ushauri.
Mambo yakienda kama nilivyopanga nitakucheki kwaajili ya LOGO.
 
Etj Consultancy: tunakusaidia kwa hatua zote hadi unamiliki kampuni yako ndani ya siku tatu baada ya wewe kulipia ada ya usajili tukishakupa control number

Etj Consultancy: na mahitaj yake ni haya
1.Jina la kampuni
2.nida za wakurugenzi
3.tin za wakurugenz
4.mtaji wa kampuni yako
5.anuani ya makazi ya wakurugenzi(mkoa,wilaya,kata,mtaa,jina la barabara,plot,block na nambaya nyumba)
6.Anuani ya ofisi kama taarifa za no.5 hapo juu
 
Limited company Ina maana gan?
Naomben mnielekeze waungwana
Ina maana , Liability ya members wake IPO limited kwenye umiliki wao ndan ya hio kampuni.
kama kampuni ni ya mtaji wa 20m, na ww unamiliki 50% ya hisa zako, Inaamaana unamiliki 10m ya kampuni husika, Kama kampuni itaingia madeni na matatizoni mbeleni ww kama member utatakuwa umepoteza 10m ya umiliki wako (kama tayari ulishacontribute) na kama bado basi utalipia hiyo 10m kusettle claims za kampuni. nothing more.
mali zako binafsi hazina uhusiano na kampuni just Ile share amount unayomiliki
 
Ina maana , Liability ya members wake IPO limited kwenye umiliki wao ndan ya hio kampuni.
kama kampuni ni ya mtaji wa 20m, na ww unamiliki 50% ya hisa zako, Inaamaana unamiliki 10m ya kampuni husika, Kama kampuni itaingia madeni na matatizoni mbeleni ww kama member utatakuwa umepoteza 10m ya umiliki wako (kama tayari ulishacontribute) na kama bado basi utalipia hiyo 10m kusettle claims za kampuni. nothing more.
mali zako binafsi hazina uhusiano na kampuni just Ile share amount unayomilik
Asante sana kwa elimu.
Na hii ambayo inaandikwa " group of company LTD" nayo naomba ufafanuz wake
 
Hii boss , ni structure ambayo hutumiwa na makampuni makubwa , ambayo hufunguliwa , kisha huanza kufungua kampuni nyingine (subsidies) kwenye industry tofaut tofaut ambazo parent company anakuwa ni majority owner.

Nb, Kampuni inasifa kama mtu kisheria , ina miliki.
 
Back
Top Bottom