Jinsi ya kurudisha rangi kwa tv iliyoathiriwa na sumaku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kurudisha rangi kwa tv iliyoathiriwa na sumaku

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Msherwa, Oct 15, 2012.

 1. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  msaada jamani, tv yangu imepoteza rangi mara baada ya mtoto kupitisha sumaku mbele ya tv, kwa anayejua jinsi ya kuirudisha rangi jamani
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Pitisha tena sumaku...

  Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
   
 3. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  peleka kwa fundi au nunua nyingine...we kabila gani?
   
 4. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  ni kweli husaidia? Pliz be serious mkuu
   
 5. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,639
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Mkuu tumia sumaku kuiondoa hiyo rangi pitisha sumaku mbele ya screen kuelekea upande ulioathirika. ila inahitaji taimaing sana. unapopitisha sumaku utaona ile rangi inafuata sumaku nenda nayo mpaka uone inapotelea pembeni ikishafika pembeni hapohapo unazima tv yako unakaa kama dk 20 washa tv kama bado rudia tena ila lazima utumie sumaku KUBWA kidogo kama huna muazime fundi. hii ni kazi ndogo sana ukifanikiwa/ukishindwa ulete majibu.
   
 6. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Jaribu kuchomoa wire wa umeme "unplugging" halafu urudishe inaweza kurudi rangi......ikiwa bado fanya tena iacha angalau kwa 24 hours.
   
 7. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,244
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  dah.. Na mim nna kaflat screen kangu sasa spika za subwoofer nimeziweka pembeni ya tv... Kuna mdau akaniambia sumaku za spika zitaniharibia tv''rangi''.. Je hii ni kwa kila tv au hizi flat zinaweza kihimili!??
   
 8. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hii inaweza kusaidia lakini inataka uangalifu sana incase sumaku itakuwa na nguvu sana tatizo litakuwa kubwa zaidi.
   
 9. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mwambie huyo huyo mtoto apitishe tena sumaki,rangi itarudi,isiporudi ni pm
   
 10. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa sijui!
   
 11. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,639
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo inategemea mara nyingi tv zenye ukubwa wa nch14 hiyo rangi inaweza potea yenyewe baada ya masaa kadhaa, lakini kwa tv kuanzia nch 21 sumaku ndiyo suluhisho, ila kama nilivosema hapo juu inahitaji taiming sana kama vile unataka kumchinja kobe
   
 12. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  thanx thanks wakuu, nimefanikiwa
   
 13. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  much respect
   
 14. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  mkuu hii ni kwa hizi tv zenye CR tubes tu( ule mgongo so hata monitor zile za pc za migongo) na hii ni kwa sababu(here comes the technical cr@p) picha ya hizo tv inatokana na bomberdment/mgongano wa charged particles(electrons) zinazotoka kwenye electron gun(kwenye mgongo wa tv hizo) na kioo cha tv. Na kuhakikisha zinagonga zinapotakiwa, sababu ni charged particles umeme na usumaku unatumika kuzi guide. So unapoweka sumaku nje unazisukuma na kuharibu mpangilio wa sehemu husika zinapotakiwa kugonga ukitoa sumaku, usumaku unakua umebaki pale unaendelea kuvuruga mpangilio ila baada ya mda utaisha na itakua poa(pyuu that was a mouthfull) back to ur qn the ans is NO. Flat screen haitadhurika uiiwekea sumaku cause haitumii magnetic field ku guide the electrons ila ina2mia electric field instead
   
 15. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Kabila lake linahusiana vp na swali? kama hujui kitu nyamaza nasi hatutajua kuwa hujui.

  Juma2 ilikua kumbukizi ya kifo cha Mwl Nyerere hukusikia hata hotuba zake japo umuenzi?
   
 16. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  kabila linahusu mkuu ili kama ni mpare aache ubahili akanunue nyingine..lol......
   
 17. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,244
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  nimesikiaa rahaaaa.... "'seenkyuu veeli maaacheeee'' ....u deserve to be Good Guy mkuu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  bora umwambie weye maana mie nimemuona mshamba tu, anajifanya kujua kununua, au naye wazaz wake ni mafundi tv, kwamba anajisikia vibaya kama ntaenda kwa mwingine, asijali, aweke contact zake niharibu tena kingine kwa makusudi then niwapelekee ili hata wapate pesa ya kula!
   
Loading...