Jinsi ya kurudisha contacts, sms, images, audios, videos n.k ulizofuta kwenye simu

Hayo mafile hayaonekani? hayawezi hamishika? tafuta application inaitwa ULTRA ISO itakusaidia yapata!!...ukishindwa itumia nitafute!..
Yanaonekana tu vizuri Mkuu, hata majina ya Mafile yapo vile vile kama nilivoyaandika wakati nasave ila tu content hazipo ukifungua tu inakuandikia "file empty".... Sasa hapo sijui tatizo ni nini na wakati inaonesha kuwa kuna Space imetumika ya hayo mafile. Au itakuwa fake
 
Hayo mafile hayaonekani? hayawezi hamishika? tafuta application inaitwa ULTRA ISO itakusaidia yapata!!...ukishindwa itumia nitafute!..
Naitumiaje Mkuu hiyo ULTRA ISO maelekezo kidogo Chief
 
Naitumiaje Mkuu hiyo ULTRA ISO maelekezo kidogo Chief
1. Ifungue application ya ULTRA ISO then nenda Continue to Try
IMG_20171205_012910_851.jpg

2.Upande wa kushoto chini, chagua device location yako.
IMG_20171205_013153_410.jpg

3. Ukiiclick tu utaona folder zinafunguka pembeni upande wa kulia.
IMG_20171205_013307_905.jpg

4. Select folders zote unazotaka copy kwa either moja moja au kwa CTRL+A.
IMG_20171205_013428_969.jpg

5. Zile files zilizokuwa selected zi'drag' peleka space ya juu yake.
IMG_20171205_014439_513.jpg

6. Zikimaliza kuwa allocated files hapo juu then ziselect za juu sio chini zihamishie nje ya hiyo application subiri mpaka zoezi likamilike utakuwa umepata files zako!!..(hapo waeza format flash baada ya kukamilisha ulichokitafuta).
IMG_20171205_013722_773.jpg

NAZANI NIMEELEWEKA Hardbody
 
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WQBARAKAATUH.

BismiLLaah, AlhamduliLLaah
n shaa Allaah, Leo Wale Ambao Allaah Hakutufahamisha, Nini Tufanye Endapo Tunataka Kurudisha Vitu Tulivyovifuta Kwenye Simu Zetu,Tutajua Namna Ya Kuvirudisha BiidhinLLaah.

MAHITAJI
1. Simu Iliyopoteza Hivyo Vitu
2. Lap/Desk-Top

3. Program Ya EaseUS MOBISAVER FOR ANDROID.
(Nakhofia Kupigwa BAN Endapo Nitaiweka Link Itakayokuwa Asbaabi Ya Kui-DownLoad Hii Program)

4. USB
5. Nafasi Ya Kutosha Ya Simu Au Memory Card, Ili Kuweza Kuhifadhi Vitu Vitakavyorudi

HATUA ZA KUFUATA
1. Ingia Kwenye Hiyo Program KISHA Itakwambia U-Connecf Simu Na Lap/Desk-Top Kwa Kutumia USB

2. Kisha Itakwambia Uwashe USB DEBUGGING

3. Kisha Utaboofya START

4. Itaanza Ku-Scan Vilivyofutika, Isubiri Imalize Ku-Scan (Muda Utakaotimika Inategemea Na Vitu Vilivyofutwa)

5. Kisha Utabofya RECOVER, Utasubiri Imalize Ku-Recover

6. Vitu Vyako Vyote Hivyo Hapo.

NB:-
1. Hii Program Ni Ya Kulipia ($ 39 Na Upukupuku) Ila Wakati Wa Kui-DownLoad Utapewa Option Mbili Ya Kununua Na TRIAL VERSION. so Kama Huna Pesa Chagua TRIAL VERSION

2.Ukitumia TRIAL VERSION Hutoweza Kuvirudisha Vitu Kwenye Simu Yako ILA Utaviona Vyote Wakati Wa Kuji-scan. So Kama Ulikuwa Una-Recover Ili Upate Namba Au Sms Fulani Utaiona Bila Kununua Program

3. Ukitumia Version Ya Kununua Utaweza Kuvirudisha Vyoote.

4. Kuna Namna Ya Kufanya Ili Kupata VERSION YA KUNUNUA Bureee, Bila Kutoa Hata Senti.

In shaa Allaah, Allaah Akinifahamisha Nitaileta Jukwaani.

UNAWEZA TAZAMA VIDEO HII

hy kwa android inatak rooted cm?
 
Mkali eeehhh. Mbona ukifuta video na picha kwa kuweka . kwenye folder name zinafutika hadi wasap huzikuti na galley huzikuti lakini ukiondoa hiyo dot picha znarud kwenye Galley pekee ila wasap ukiingia kwenye convo huzikuti? Je nifanyeje ili zirudi kwenye convasation za wasap. (Sorry hapa siyo pake ila nisaidie hilo shekh)
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WQBARAKAATUH.

BismiLLaah, AlhamduliLLaah
n shaa Allaah, Leo Wale Ambao Allaah Hakutufahamisha, Nini Tufanye Endapo Tunataka Kurudisha Vitu Tulivyovifuta Kwenye Simu Zetu,Tutajua Namna Ya Kuvirudisha BiidhinLLaah.

MAHITAJI
1. Simu Iliyopoteza Hivyo Vitu
2. Lap/Desk-Top

3. Program Ya EaseUS MOBISAVER FOR ANDROID.
(Nakhofia Kupigwa BAN Endapo Nitaiweka Link Itakayokuwa Asbaabi Ya Kui-DownLoad Hii Program)

4. USB
5. Nafasi Ya Kutosha Ya Simu Au Memory Card, Ili Kuweza Kuhifadhi Vitu Vitakavyorudi

HATUA ZA KUFUATA
1. Ingia Kwenye Hiyo Program KISHA Itakwambia U-Connecf Simu Na Lap/Desk-Top Kwa Kutumia USB

2. Kisha Itakwambia Uwashe USB DEBUGGING

3. Kisha Utaboofya START

4. Itaanza Ku-Scan Vilivyofutika, Isubiri Imalize Ku-Scan (Muda Utakaotimika Inategemea Na Vitu Vilivyofutwa)

5. Kisha Utabofya RECOVER, Utasubiri Imalize Ku-Recover

6. Vitu Vyako Vyote Hivyo Hapo.

NB:-
1. Hii Program Ni Ya Kulipia ($ 39 Na Upukupuku) Ila Wakati Wa Kui-DownLoad Utapewa Option Mbili Ya Kununua Na TRIAL VERSION. so Kama Huna Pesa Chagua TRIAL VERSION

2.Ukitumia TRIAL VERSION Hutoweza Kuvirudisha Vitu Kwenye Simu Yako ILA Utaviona Vyote Wakati Wa Kuji-scan. So Kama Ulikuwa Una-Recover Ili Upate Namba Au Sms Fulani Utaiona Bila Kununua Program

3. Ukitumia Version Ya Kununua Utaweza Kuvirudisha Vyoote.

4. Kuna Namna Ya Kufanya Ili Kupata VERSION YA KUNUNUA Bureee, Bila Kutoa Hata Senti.

In shaa Allaah, Allaah Akinifahamisha Nitaileta Jukwaani.

UNAWEZA TAZAMA VIDEO HII

Similar Discussions

Back
Top Bottom