Jinsi ya kupima Mashmba kwa kutumia Google Geo calculator

Toddy M

Senior Member
Dec 12, 2017
105
93
Hello guys..

Naombeni wataalamu wanionyeshe jinsi yakupima mashamba kwa kutumia Google Map kisha nipate picha kama hii inayo onekana hapa kwa ajili ya kuprint kisha nitoe copy nisave kwenye mkataba pia nisave online eneo la mashamba yangu kwa kutumia digital for future incase Of reference..
d38f7662da37ae9d705aae7c37959993.jpg
 
Itabidi uwe na mapping grade GPS receiver ili upate coordinates. Ukishapata coordinates, nenda Google Earth, zipachike ili upate polygon. Zipe point A, B, C etc.
NB: Hii ni njia ya kienyeji sana ili tu uwe na rough idea ya shamba lako, kuna errors nyingi inabidi ziwe corrected hasa unapotafuta coordinates.
 
kama alivyosema mdau hapo juu hii njia sio 100% accurate kunaweza kukawa na utofauti kidogo hasa hivi viwanja vyetu vya kupima kwa miguu. itategemea na aina ya gps.

kama unataka kujaribu kwa simu yako ipo hii app ni nzuri
GPS Status & Toolbox – Applications Android sur Google Play

kwa juu kulia kuna sehemu ya copy, uki click hapo itacopy coordinates tayari zikiwa zineekwa kwenye url ya google map.

sema jinsi simu inavyokuwa ya kichina na ya bei rahisi ndio jinsi gps yako ilivyo mbovu uangalie na simu utakayotumia.

kuna.simu zina GPS, Glonass, beidou etc hizi zina accurate location kuliko zinazotumia system moja tu.
 
Dah asanteni ngoja nilifanyie kazi swala hili nikishindwa nitarudi maana Am not good in IT but familiar with some items mentioned..
 
kama alivyosema mdau hapo juu hii njia sio 100% accurate kunaweza kukawa na utofauti kidogo hasa hivi viwanja vyetu vya kupima kwa miguu. itategemea na aina ya gps.

kama unataka kujaribu kwa simu yako ipo hii app ni nzuri
GPS Status & Toolbox – Applications Android sur Google Play

kwa juu kulia kuna sehemu ya copy, uki click hapo itacopy coordinates tayari zikiwa zineekwa kwenye url ya google map.

sema jinsi simu inavyokuwa ya kichina na ya bei rahisi ndio jinsi gps yako ilivyo mbovu uangalie na simu utakayotumia.

kuna.simu zina GPS, Glonass, beidou etc hizi zina accurate location kuliko zinazotumia system moja tu.
Nimedownload hii kupitia link hiyo ulionipa ila ukiifungua inaanza na
Screenshot_20180124-123031.png
 
mkuu.... tafuta mpima ardhi akupimie... una patikana wapi, shamba lipo wapi... nije nikusaidie kuchukua coordnates mkuu... GPS hipo hapa...

kama upo mitaaa ya karibu na nilipo, singida, dodoma, morogoro, iringa, manyara arusha... nikusaidie chap... ipate data zako... na utengenezewe hicho kitu unacho itaji... na kama una kompyuta ntakusaidia kukuelekeza baadhi ya mambo ili ikusaidie baadae...

na hauto juta maaana utafikiria na wewe kumiliki GPS
 
Back
Top Bottom