Jinsi ya kupika wali mzuri wa nazi na maua wenye kunukia

Mimi nimejaribu....

images
 
-Mchele
-Karoti
-Hoho
-Iliki
-Njegere
-Kitunguu saum
-Tangawizi
-Nazi ya kukuna ni nzuri zaidi
-Chumvi

kwa kuongezea tuu, unaweza kuweka vipande vya nanasi wakati wa kupalilia, local ama zabibu kavu...

yaani hii post itanifanya nirudi home mapema
 
Nasukuru kwa majibu mazuri, ujue tatizo kubwa linatukabili sisi tunaojifunza kupika hasa wanaume ni kukadiria kiwango cha maji, kwa mfano mchele robo nakadiriaje maji? Niwekeke lita 2 au 3, hapo ndio tatizo kubwa, ila kama unapika kila siku kwako inakuwa sio tatizo
Kukadiria maji inategemea na aina ya mchele
Sikuhz michele mingi ni fake inatumia maji mengi sana sasa hapo ni kukadiria tu na pia wengine hupenda wali uliotota na wengine hupenda wali mkavu mkavu so jitahid tu kukadiria maji kulingana na wali uupendao ww
 
-Mchele
-Karoti
-Hoho
-Iliki
-Njegere
-Kitunguu saum
-Tangawizi
-Nazi ya kukuna ni nzuri zaidi
-Chumvi

kwa kuongezea tuu, unaweza kuweka vipande vya nanasi wakati wa kupalilia, local ama zabibu kavu...

yaani hii post itanifanya nirudi home mapema

Sasa hivyo vipande vya nanasi wali si utakuwa na sukari sukari .......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom