Jinsi ya kupika uji wa ngano

ngoja nikupe kitu kizuri cha mtoto chemsha karoti zisiize sana blend mpe huo uji kila siku at least vikombe viwili. pia kwenye msosi wake weka bamia nangogwe kiasi . halafu mpe uji wa sembe kwa sana au wa popcorn usimpe ma vitu ya maboxsi .
Uji wa sembe kwa mtoto haufai, mtoto anywe dona kama ndio anamuanzishia inaweza kuwa diluted kidogo.
 
Mahitaji ya uji kwa watu 2-4
1. ngano ambayo haijakobolewa kikombe kimoja kikubwa cha chai(mug)

2. Maji vikombe viwili vikubwa vya chai

3. Maziwa ya chai kikombe kimoja kikubwa cha chai

4. Sukari vijiko vitatu vya chakula.

Maandalizi
1. Chambua ngano zako kisha uzisahe kwa kupitia blender. Saga hadi upate unga ingawaje kutabakia na vipande vidogo vidogo vya ngano.

2. Weka sufuria jikoni pamoja na kiasi cha maji yaliyotajwa hapo juu na uache kwa dakika moja.

3. Weka unga wako na anza kukoroga hadi ulainike.

4. Uji ukishaanza kutokota weka maziwa yako pamoja na sukari ili viendelee kuiva pamoja.

5 . epua uji wako baada ya dakika 10-15 na uko tayari kwa kunywewa.

N.b
1.unaweza kuweka siagi au jibini.
2. Unaweza kutumia maziwa katika upishi wako bila kutumia maji.
3. Kiasi cha unga unaweza kuongezeka kulingana na idadi ya familia.
4. Unaweza kukaanga kidogo ngano kabla hujazisaga.
Oyaa! Uje utulee na uji mwengine hapa!
 
Huu uji sio poa, kunywa chupa nzima hata sionagi tabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom