Jinsi ya kupika tambi

Hukuleta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Chef hapa nataka niki master vema nije na picha kabisa ili nisikuangushe mwalimu maana nilizopika first time zilikuwa poa kuliwa ila hazikufaa kupostiwa 😀😀😀😀 ila nilifanikisha kwa kufata njia za hapo juu chef wangu kuna siku nikizipatia ile kisawa sawa mtaona mrejesho wa picha kabisa hapa
 
Asante Chef hapa nataka niki master vema nije na picha kabisa ili nisikuangushe mwalimu maana nilizopika first time zilikuwa poa kuliwa ila hazikufaa kupostiwa ila nilifanikisha kwa kufata njia za hapo juu chef wangu kuna siku nikizipatia ile kisawa sawa mtaona mrejesho wa picha kabisa hapa
Bila Shaka itakuwa ukipika zkagandana Kama ugali nunua chujio kubwa lile la chuma wakat wa kuchemsha tambi hakikisha znalainika kiasi Yan ukitafuna znakuwa zna nata kweny meno kdgo Hapo unazimimina kweny hlo chujio ztoke maji badae ukizichanganya kweny rojo unazipika kwa Moto kdgo ili zsiungue na zlainike vzur uctumie mwiko kukoroga tambi tumia uma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tambi (vermicilli)za maji

Recipe

Tambi vermicilli half packet (250grms)
  • Sukari nusu kikombe.
  • Cardamon powder (iliki)1 teaspoon.
  • Mafuta kiasi.
  • Maji nusu lita
Jinsi ya kupika
Bandika sufuria, weka mafuta yakipata moto weka tambi ukoroge hadi ziwe kahawia "golden brown" . kisha weka maji,.sukari na iliki, koroga acha ziive, kisha osha "dried grapes" (zabibu kavu) weka ndani ya tambi.koroga vizuri na hakikisha zimeiva, tambi zinakuwa tayri kuliwa.

1588269181029.png
 
1.chukua tambi nusu, au kulingana na idadi ya walaji
2. Chemsha maji kiasi tia chumvi
3.chukua tambi zako weka kwenye maji yachemkayo, subir kama dk 5-10 ziive
4.Zikiiva epua, zifanye maji yatoke
5. Chukua sufuria nyngne weka mafuta, kitunguu kiwe brown
6.weka hoho then nyanya
7.ukipata rojo Chukua tambi zako tia mle, koroga, funika dk chache
8. Epua, pakua weka mezani
9. Chemsha chai kama unapenda
10. Ingia kwenye beseni la vyombo kama huna kabati, chukua uma
11. Pakua tambi anza kula kwa uma, shushia na chai.
12. Ukimaliza chukua simu yako ingia Jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimepika tambi zimekua kama ugali leo narudia tena ila ipi nzur niweke sukariii au chumvi et jaman
Ukipika za chumvi weka chumvi peke yake, ukipika za sukari basi na mboga yake iwe ya sukari hasa maharage, kuhusu kutoa tambi zilizonyooka weka maji kidogo yabaki ndani ya tambi kama wali uliotayari kubanikwa alafu weka moto mdogo ule wa kubanikia wali, kuongeza utamu tumia Nazi na iriki ila hata kama ni Nazi maji yawe Yale Yale kidogo, kingine kabla ya kupika tambi uwe unaziloweka na maji ya baridi dakika 10 mpaka 20 kuzifanya ziwe mbichi na ziwe rahisi kuzipika kwa mfumo wa kubanika au baking.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom