Jinsi Ya Kupika Konokono Kama Chakula

Shukrani sana boss.
Mimi nitakufundisha mkuu
Umenikumbusha mbali Sana wakati nakaa na bibi yangu alinifundisha

Kwanza tafuta konokono wazima wale wanaokaa migombani au sehemu zenye unyevuunyevu (chukua wa kutosha) kisha tafuta sufulia kubwa waweke then Tia maji waweke jikoni wafunike, mpaka watokote kabisa ukijiridhisha waepue wakiwa hawajapoa tafuta kitu chenye ncha Kali tumia kifaa hicho kutoa mnofu wa konokono kwenye Ganda lake, ukimaliza waoshe vizuri kama unataka kukaanga weka viungo kama nyama ya kawaida kisha weka mafuta jikoni tayari Kwa kukaanga au ukitaka unaweza kuendelea kama nyama ya kawaida

Note
Nyama ya konokono ni Tamu Sana na haina mfupa

Kama unaswali jingine niambie
 
Konokono unamlaje sasa, kuku,samaki,ng'ombe, mbuzi wameisha kwani??

Dah yani unanitamanisha hadi mate yanajaa kweli unajua hii kitu nilikula bagamoyo ila hapa dar sijajua wapi wanawauza konokono mtamu sana
 
Duuh!! Umenikumbusha kule kwetu kuna kitu kinaitwa mirindi nacho huwa nahisi ni jamii ya hayo makono kono nilikula zamani sana wanachemsha na kuweka chumvi inakuwa sehemu ya kitoweo.

Kwa sasa siwezi kula abadan.

mrindi au wengine huita tondo ni tam uunge na nazime napendelea kuwamix kwenye kachumbari ya kiswahili au nipike zodo niwamiminie humo nitige tige embeliorojekee mirindiikiwemo ni tamna ugali
 
Duuh!! Kumbe ukiitia kwenye zodo inakuwa mitamu eee?

Mana mwenzio kila nkiifikiria. Lol. Mitupu ya kuchemsha na chumvi kwa sasa hata siiwezi.
 
Sasa sisi miaka hiyo tulikuwa tunachemshiwa ya chimvi tu ukitaka kula na ugali unachukua mmoja mmoja na kuanza kuifyurura (sijui kiswahili fasaha cha hili neno lol) yaani hakukuwa na muda wa kusema wakutolee yaani utavuta mwenyewe ndipo ule. . 😀😀😀
hiyo ingenishinda,kuna jiran yetu mpaka leomirindi ndiosamakiwake,halaf anawagonga yale matumbo yake anakula mimi naona kinyaa

kuwafyonza (kuyafurura) umeongea kitaanga hasa
 
Sasa sisi miaka hiyo tulikuwa tunachemshiwa ya chimvi tu ukitaka kula na ugali unachukua mmoja mmoja na kuanza kuifyurura (sijui kiswahili fasaha cha hili neno lol) yaani hakukuwa na muda wa kusema wakutolee yaani utavuta mwenyewe ndipo ule. .
Nakutafuta mnoo Fanya kunipigia namba nimepoteza dog lako hapa
 
mrindi au wengine huita tondo ni tam uunge na nazime napendelea kuwamix kwenye kachumbari ya kiswahili au nipike zodo niwamiminie humo nitige tige embeliorojekee mirindiikiwemo ni tamna ugali
Nimewatazama Hawa Itakuwa Ni Jamii Hiyo Hiyo Ya Konokono.
 
Back
Top Bottom