Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Ni kweli,kupika chapati,mandazi na vitu vya ngano ni mtihani mgumu sana

Juzi jumamosi nilisema nijaribu kupikia chapati nyumbani nikakandia maziwa,blueband nimeweka lakini chapati zilivyotokea sasa!!!nikaamini kupika chapati is not my thing
😀😀😀Hukuzipiga picha nione.

Ila me za kumimina kiukweli huwa hazinisumbui. Yaani nazipatia hata kuzigeuza nafanyaga kwa kuzirusha tu.
 
Nilipanga zikitokea vizuri nizipige picha nipost kwa status kule WhatsApp lakini kilichotokea ni aibu tupu 😁

Hizo za kumimina sijajaribu kuzipika lakini nilishakula mara kadhaa hazikunivutia
 
😀😀😀 Si ajabu hata kuzisukumu tu zilitoka zina mapembe.
Nacheka maana umenikumbusha niliwahi pikiwa chapati hizo kau kau halafu + zina mapembe. Hazieleweki nyingine pembe tatu, nyingine imekaa trapezium
 
Nilisukuma vizuri zilikuwa round bila kona kona
Tatizo ni ule ugumu asa sijui nilikosea wapi akati nilikua naweka katika hotpot
 
Labda hukukanda vizuri,au unga ulikua mgumu.Pia kama moto ulikua mdogo sana zikakauka.Sababu nyingine yaweza kua ulivokanda unga hukuacha kidogo ziumuke.
 
Ni kweli,kupika chapati,mandazi na vitu vya ngano ni mtihani mgumu sana

Juzi jumamosi nilisema nijaribu kupikia chapati nyumbani nikakandia maziwa,blueband nimeweka lakini chapati zilivyotokea sasa!!!nikaamini kupika chapati is not my thing
Kanda unga uwe laini, wakati wa kupaka mafuta ili ukunje tumia KIMBO, kisha ziache kwa dk 20 mpaka 30. Ndo uanze kusukuma dear!
 
Ni kweli,kupika chapati,mandazi na vitu vya ngano ni mtihani mgumu sana

Juzi jumamosi nilisema nijaribu kupikia chapati nyumbani nikakandia maziwa,blueband nimeweka lakini chapati zilivyotokea sasa!!!nikaamini kupika chapati is not my thing

Mara ya kwanza kupika chapati sijui zilikuwa ni chapati au kau kau zile kwakweli. Nilicheka Sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom