Jinsi ya kupiga kura!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kupiga kura!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Akili Unazo!, Oct 21, 2010.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,776
  Likes Received: 2,419
  Trophy Points: 280
  Wakuu leo asubuhi wakati nasikia mapitio ya magazeti RFA nimesikia kuwa NEC imabadilisha jinsi ya kupiga kura itakuwa kuweka Tick kwenye kibox kilichopo mbele ya mgombea Urais.

  Sasa nikapata utata,siku za karibuni nimesikia kuwa kuna huko tunduma kumekamatwa kontena lilojaa kura zilizokwisha pigwa kura kwa kuweka Tick kama ilivyoelekezwa na NEC jana.

  Hii si ndio kurahisha suala zima la uchakuaji wakuu naona karatasi walizoleta haziendani na zile NEC ilizokuwa imezianisha hivyo kutoa tamka kuwa zibadilishwe.

  Sasa kwa kuwa muda umeisha watawezaje kubadilisha kwa kipindi kifupi namna Hii

  Asanteni na Mungu awabariki kwa jinsi mnavyoitakia mema nchi ya Tanzania kwa kufanya mabadiliko ya kweli kwa ajili ya watoto wetu na wajuku wetu wajao.
   
Loading...