Elections 2010 Jinsi ya kupiga kura kwa upande wa rais jumapili......

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
ruka mstari wa kwanza na wa pili,nenda wa tatu na weka alama ya vema mbele ya bendera ya chadema kwenye kibox cha wazi,mkumbushe na mwenzako kuwa picha ya slaa ni ya tatu
 
mhh wewe umeona wapi karatasi au ndo zile za tunduma
kigogo ndg yangu leo nimepata bahati ya kuzichungulia kwa mafisadi wakati wa semina yao,picha ya kwanza ni ya mziray na ya pili ni kikwete
 
Back
Top Bottom