Jinsi ya kupata wateja 440 - 1,300 kila siku kwa biashara yoyote ile Tanzania

Asiliatz

Member
Aug 16, 2018
97
131
Habari ndugu zanguni!

Elimu ya leo nikuhusu namna ya kupata wateja 440 – 1,300 kwa siku,hawa ni wateja wanao ona bidhaa zako unazo uza au huduma unayotoa. Wateja hawa 440 – 1,300 ni wateja ambao kwa asilimia 80 watanunu bidhaa/huduma yako kwasababu ni wateja ambao wanahitaji bidhaa/huduma yako.

Sio stori ni kitu ambacho kipo na ni fact na pia ushawahi kukisikia lakini hujafanya sababu huna uelewa wakutosha kuhusu kitu hiki au ulikipuuza. na kitu chenyewe kitakacho weza kukupatia wateja 440 – 1,300 kwa siku sikingine bali ni Facebook Ads.

Napateje hao wateja?
Facebook ni mtandao unao ongoza kwa kutembelewa na watu wengi duniani, kwa hapa Tanzania takribani watu milioni 4 na zaidi utembelea facebook kila siku. Watu wanaotumia facebook Tanzania ndio hao hao wanaokatiza huko mitaani, si nikweli? na pia ndio hao hao wanaoisaka bidhaa/huduma yako, si ni kweli?. Basi facebook kwa kuliona hilo akahamua facebook pasiwe mahala tu pakuchat na kupost picha bali pawe mahala pakufanya biashara pia kwasababu inahusisha watu halisi na wanafanya shughuli mbalimbali huko kwenye maeneo yao.

Ndipo facebook ikaleta kitu kinachoitwa facebook page ambazo ni maalumu kwaajili ya biashara ni tofauti na akaunti ya kawaida ya facebook, ndio maana ilikufungua facebook page ni lazima uwe na akaunti yakawaida ya facebook. Ukitaka kufungua facebook page ni rahisi nenda kwenye menu>>pages>>create new page, huko utaandika jina la page yako amabalo ni jina la biashara yako, utaweka logo ya biashara yako (“tunatengeneza logo kama ukihitaji”), kishautakua umemaliza kutengeneza facebook page (“kunamatengezo mengine kama kuweka buttons, kutengeneza shop, kuweka automatic reply messages, hizo utafanya baada au unaweza kunicontact nitakusaidia kufanya”).

Baada ya kuwa na facebook page sasa utaweka post yako ya kwanza ikielezea biashara yako au chocho cha kwanza utakacho penda kuanza nacho kupost kisha utaona kitufe(button) baada ya kila post utakayokuwa unapost kimeandikwa BOOST POST, basi ukibonyeza hicho kibatani ndio kitakupeleka kwenye facebbok Ad ambapo utatengeneza tangazo lako litakalo kupatia wateja kati ya 440 – 1,300 kwa $1 (Tsh.2300) kwa siku, idadi ya watu inazidi au kupungu kulingana na bajeti yako, unaweza kuweka hata $50 kwa siku na ukapata watu 30,000 – 60,000+ kwa siku niwewe tu.

Bajeti ya $1 kwa siku inatosha kabisa kwa biashara ndogondogo ambazo ni nyingi hapa Tanzania.

Natengenezaje hiyo facebook Ad?
Baada yakutengeneza facebook page, tengeneza post ambayo unataka idadi hiyo ya wateja waione ilikusudi wanunue bidhaa/huduma yako cha muhimu sana kufikiria ni kitu gani uandike? ni picha gani uiweke? ilikusudi kushika hisia za wateja wako waweze kununua bidhaa yako. Ukisha ipata post yako ipost nitakueleza mbinu za kufanya ilikupata idadi ya wateja 440 – 1,300 kwa siku, kiuhalisia sio mbinu ni mambo yanajieleza kabisa.

HATUA ZA KUTENGENEZA TANGAZO LA FACEBOOK
2. Hatua namba moja ni hiyo hapo juu kwenye Aya iliyopita, hatua ya pili ni kuchagua unahitaji hiyo post yako ifikie wateja na baada yakuwafikia wafanye nini na hiyo post wakishaiona, maana facebook inachofanya nikuwaoonesha tu hao watu 440 – 1,300 hicho ulicho post lakini wewe ndo unachagua wafanye nini na hiyo post yako. Kuna mambo matatu ya kuchagua utayaona hapo facebook wamekuweka, kama ifuatavyo:-
  • kufanya watu wareact, wakomenti au washare hiyo post yako( hii ni kupromote zaidi page yako na kupata like zaidi)
  • kama una website, chaguo hili litakufanya upate wateja zaidi kuja kwenye website yako
  • kuunganishwa na wateja wako,wateja watakapoona tu tangazo lako wanaweza kukutumia meseji kupitia messenger au whatsapp business(lazima uwe umedownload whatsapp business kwenye simu yako) “njia hii ndio nzuri zaidi kwa biashara ndogo ndogo.
3. Hatua muhimu zaidi, kuchagua Audiences ( wateja wako sasa), hapa pia kuna machaguo matatu.
  • Kwanza utachagua eneo unalotaka tangazo lako lionekane mfn. Tanzania,mwanza,kenya,uganda n.k pia utachagua umri wa wateja unaopenda waone tangazo lako mfano 13-65 years, pia utachagua unapenda tangazo lako waone wateja wanaopenda nini (interest) mfano:wanafunzi,wasanii, washereheshaji, waajiriwa n.k pia unaweza kuchagua jinsia mfn me,ke au wote.
  • Hapa unaweza kuchagua tangazo lako lionekana eneo linalo kuzunguka tu haizidi kilometa 70 toka biashara yako ilipo, kwahiyo watu ndani ya eneo hilo tu ndo wanaweza kuona tangazo lako
  • Unaweza kuchagua watu kutoka katika page zako unazo miliki.
evead2.png

4.Unachagua bajeti yako, kiwango cha chini kabisa ni $1( Tsh 2,297) kwasiku na kiwango cha chini cha siku ni siku 4 kwamantiki hiyo kiwango cha chini cha bajeti ni $4(Tsh 9,191) kwa siku nne, kwahiyo kila baada ya siku nne utalipia $4(Tsh 9,191), ukipenda ulipie $4(Tsh 9,191) kili wiki kwa mwezi ni $16(Tsh. 36,783).
evead.png

5. Hatua ya mwisho ni kulipia,kuna njia mbili tu za kulipia 1.kadi ya benki (kama hauna tumia mpesa mastercard) 2.Paypal
evepay.png

_______________________________________________________________________________________________

Edited 11 December 2019

Kitabu changu nakitoa bure kama shukrani mwisho wa mwaka 🙏, Mwenyezi Mungu awabariki mpate kujifunza vyema.
Download PDF niliyo attach hapa

kwa maswali zaidi, tafadhali karibu kwenye komenti hapo chini
 
Attachments

  • Jinsi ya kupata wateja 440 – 1,300 kila-final.pdf
    1.9 MB · Views: 41

Thank you
 
Back
Top Bottom