Jinsi ya kupata ‘updates’ za maombi ya kazi zilizotumwa TAMISEMI

Son Of Light

Member
Aug 12, 2019
40
10
Wana JF Habari zenu! Natumaini mko poa

Naomba mnisaidie namna ya kupata update za maombi niliyofanya mwezi July kwenye system ya TAMISEMI ya kutuma maombi!

Tangu deadline ipite nikifungua haifunguki sielewi jamani au hayajaenda hayo maombi?

Karibini kwa msaada
 
Huwa hawatoi updates, subiri mpaka wakimaliza kuchanganua wanaostahili watatangaza majina ya walioajiriwa.
Tembelea website yao mara kwa mara baada ya mwezi mmoja tangu kufungwa kwa maombi.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi wako mkuu
 
Back
Top Bottom