Jinsi ya kupata ujumbe na simu za mtu mwingine

Mambo mengine kujipa pressure tu ndio maana watanzania wengi hatuwazi mambo ya maendeleo sasa mkuu ukishajua alafu iweje bora ungeuliza maswala mengine.
Nimaoni yangu tu

Some people are just born to do such things, it is like a "Built-in", they enjoy spying....
 
Acha kudanganya watu IPO hiyo application ya liguid hacking na kama ana storage kubwa ya simu yake anaweza hata kuhifadh akasikiliza baadae.msg unapata kama cc so usiongee kitu kama hukijui

Asee hio application ya liguid hacking inapatikana wapi pure man
 
Last edited by a moderator:
Fanya Mpango Upate SIM Card Ambayo Ni Blank, Ila Itabid Ufanye Kazi Sana Hapa Kupata Hii Inshu...

Halaf Una Burn Firmware Uliyoitoa Kwnye Iyo Chip Unayotaka Kui Hack Lengo Likiwa Kufanya Izo Line Mbili Ziwe Na Firmware Moja Inayofanana Na Hivyo Namba Za Simu Zao Pia Zitakuwa The Same...

Nitarudii Kuja Kuendelea....
 
Vip laiti ingekuwa ndo wewe unafanyiwa hivyo watu wanazijua sms zako na maongezi yako! Hiyo kitu nadhani haipo
 
kuna application gani au jinsi gani ya kufanya ili niweze kupata sms na simu anazopigwa mtu mwingine zije na kwangu mim?
Hayo ni mawazo negative badilisha mfumo wa fikra zako uwaze yaliyo mema kama meseji zako mwenyewe hazikusaidii za mwingine zitakusaidia nini? Tafakari chukua hatua.
 
GANJA ROLLER iyo ni ya ku-divert sms na calls au??ila mie mnisaidie simu yangu imekua-diverted na mtu bila kujijua so nataka niblock kabisa isiende uko nachukiaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom