Unataka upokee sms na call za mtu mwingine za nini?????
Wakikuelekeza nunua na jeneza kabisa, usije kuwapa sida wengine kununua
hakuna geneza kwa issue kama hiy but my intention ni kutaka kujua tu,
Inawezekana kupata kimagumashi, but itakucost hela nyingi mno. Infact, hakuna anaeruhusiwa kuzitoa siri za mtu mwingine za kimawasiliano. Labda polisi pekee, tena kwa sababu maalum za kiusalama na kiupelelezikuna application gani au jinsi gani ya kufanya ili niweze kupata sms na simu anazopigwa mtu mwingine zije na kwangu mim?
Hakuna kitu kama hiko
kuna application gani au jinsi gani ya kufanya ili niweze kupata sms na simu anazopigwa mtu mwingine zije na kwangu mim?
www.mspy.com
www.mobitrackapps.com
Mambo mengine kujipa pressure tu ndio maana watanzania wengi hatuwazi mambo ya maendeleo sasa mkuu ukishajua alafu iweje bora ungeuliza maswala mengine.
Nimaoni yangu tu
Hii mada ilishazungumziw sana humu jukwaan..kuna application gani au jinsi gani ya kufanya ili niweze kupata sms na simu anazopigwa mtu mwingine zije na kwangu mim?