Jinsi ya kupata ufadhili kozi ya general agriculture vyuo vya serikali

Fredrick Mmari

Senior Member
Jul 8, 2013
144
37
Nina kijana wangu wa kike matokeo ya 4m 4 ana 2.21

Civ C
Hist C
Geog C
Kisw C
Engl C
Bios C
Phy F
Chem C
Math D

Anaweza pata sponsorship ya serikali/mashirika uyajuayo kusoma certificate ya General Agriculture?
 
Bora angeacha kusoma science maana yake hakuna alichokifanya F sio nzuriii kabisa kuruhusu ktk mitihani hasa ya kitaifa daaaa hata agriculture haendi arisiti tuu
 
Umeangalia masomo mengine ya sayansi kama Bios C,Chem C na Maths D na Geog C??

Kumbuka haendi kusomea engineering

Sijakuelewa unavyosema,hakuna alichokifanya

Kwenye guidebook angalauuu angekuwa hata na D ya physics agriculture, Health allied hawezi pata kozi yoyote ya science kazingua usimtetee ujinga
 
Screenshot_20170202-140646.png
 
Screenshot_20170202-140646.png

Unaona muongozo huo wa wizara ya kilimo??

At least awe ana D 3 kwenye masomo ya maths,chem.,bios,geog,phys. Au agricultue

Yeye kwenye 3 anazo C badala ya D zinazotakiwa[/QUOTE]
 
View attachment 466629

Unaona muongozo huo wa wizara ya kilimo??

At least awe ana D 3 kwenye masomo ya maths,chem.,bios,geog,phys. Au agricultue

Yeye kwenye 3 anazo C badala ya D zinazotakiwa
[/QUOTE]
Acha kumkatisha tamaa chuo atapata,,vyuo vya kilimo kigezo kua na c mbili za science na d,asa uyo ana c tatu na d ya hesabu,,kwanza mpe hongera,, application zinaanza mwez wa 4 au wa tano utaaply kupitiq nacte ila kwenye ufadhili ni bahat ya mtu kupata au kukosa!!! All the best
 
Nasema kama ifuatavyo. Sikusoma physics olevel ila kwa sasa nipo chuo cha afya na mwenzangu hakusoma phy nae yupo muhas anasoma bachelor of science in nursing. Mwambie kijana akasome CBG ila apige vizuri tu.
 
Acha kumkatisha tamaa chuo atapata,,vyuo vya kilimo kigezo kua na c mbili za science na d,asa uyo ana c tatu na d ya hesabu,,kwanza mpe hongera,, application zinaanza mwez wa 4 au wa tano utaaply kupitiq nacte ila kwenye ufadhili ni bahat ya mtu kupata au kukosa!!! All the best[/QUOTE]
Shukran kwa kukazia point.
Ndio maana nimemtumia muongozo wa wizara nadhan kuhusu vigezo huenda alisikia tu kwa watu bila kupata maelezo sahihi kwenye chanzo husika.

Kikubwa naangalia udhamini kiongozi
 
Nasema kama ifuatavyo. Sikusoma physics olevel ila kwa sasa nipo chuo cha afya na mwenzangu hakusoma phy nae yupo muhas anasoma bachelor of science in nursing. Mwambie kijana akasome CBG ila apige vizuri tu.
CBG anaweza kusoma ila nadhani atapunguza utaalam kwenye mambo ya agriculture.
Yaan Adv.ataenda kusoma mambo ambayo hayata mfua ipasavyo mpaka aende bachelor.

Nahitaji awe vizuri na a concentrate kuanzia ngazi ya chini ipasavyo.

Lengo ni kujiajiri mapema amalizapo,so ili awe competent to the market naona akianzia certificate itamsaidia sana kuliko aende Adv. nw

Nataka afanye kilimo cha kisasa sio locally kama wengi wafanyavyo kwenye hiyo sekta
 
Best wishes ila natamani angeenda adv maana dogo nimeona yuko fresh
 
Back
Top Bottom