Jinsi ya kupata Serial keys kutoka Google.

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
May 16, 2011
3,695
5,032
  • Fungua google
  • Andika jina la Software ambayo unataka serial key zake then mbele unaongeza 94FBR
  • Mfano IDM 94FBR

Baada ya hapo zitakuja site nyingi zenye serial keys ambazo unahitaji.
 
Back
Top Bottom