Jinsi ya kupata mshangazi wa kizungu, wewe ukiwa ndani ya Tanzania na Mshangazi ukiwa majuu.

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
4,975
9,718
Kwa takribani miongo mitatu sasa JF imeendelea kuwa chimbo la maarifa tukufu kwa kila rika, yote ni kwa sababu kuwa humu ndani kuna watu mbalimbali kutoka katika kila kona ya dunia wengi wakiwa na hasili ya Afrika.
Since elimu haina mwisho naomba uzi huu uwe kituo cha wenye kutaka kujua ni namna gani wanaweza pata mishangazi ya kimataifa.

Kati ya mishangazi ya kiswahili na kizungu bora ipi? ~ jaymore voice

Mimi binafsi ni mtupu kwenye elimu hii, basi naomba ambaye amewahi kupata si mshangazi pekee bali hata mzungu wa rika lake akiwa ndani ya ardhi ya Tanzania na mshangazi ukiwa majuu atujuze hapa.
Natanguliza Shukurani.

#mamsup_lakizungu #mamsup_lakitasha #mshangazi_white #mshangazi_dollar #mshangazi_USA
#UKmshangazi_
#MichiganMshangazi
#NEWYORK_mamsap
 
Unatakiwa kusocilize nayo yakija uku ku volunteer kwenye charitable organizations either uwe host wao or mfanyakazi wa kwenye izo organizations
 
Back
Top Bottom