Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

Kwanza inabidi siku hiyo uwe na nguvu za kiume za kutosha, Pili unatakiwa uvizie masaa kadhaa kabla hajaanza siku zake kwakuwa siku hiyo yai lake huwa lipo karibu kabisa

Yani kaka yangu UMEPOTEAAAAAAAA...inaelekea hata form4 hujafika kwasababu biology ya form 4 imeelekeza mzunguko. Duh
 
Yani kaka yangu UMEPOTEAAAAAAAA...inaelekea hata form4 hujafika kwasababu biology ya form 4 imeelekeza mzunguko. Duh

Duh! Wewe umeishia form ngapi? Mimi hata hiyo form 4 uliyosema sijafika hata shule sikusoma ila subiri kwa sasa natumia simu baadaye nikikaa kwenye PC nitakujibu vizuri
 
Sawa,nimependa jibu lako kutokana na urahisi wake ktk kutendeka...nilijua itakuwa complex! lakini mimi nataka kuelewa zaidi,kwahiyo yani hapo kinacho sababisha mtoto awe wa kiume ni kuwa na nguvu nyingi za kiume (explanation required) na kufanya tendo masaa machache kabla ya zile siku ambazo anapata mimba? ningependa kueleweshwa zaidi mkuu.

Mwanamke ana mbegu(Chromosomes) za aina moja ambazo ni XX wakati mwanaume anazo za aina mbili ambazo ni XY, wakati mwanaume anatoa mbegu kwenda kwa mwanamke X na Y hutoka kwa pamoja lakini X ndiyo huwa na spidi zaidi kuliko Y. Kwahiyo kama mbegu hizo za mwanaume X ndiyo itatangulia kurutubisha yai basi utapata muungano wa X ya mwanaume na X ya mwanamke na kufanya XX na hivyo mtoto atakuwa wa kike. Ikiwa wakati wa urutubishaji Y ndiyo itawahi kurutubisha yai basi utapata muungano wa XY na hivyo utapata mtoto wa kiume.

Sasa kama nilivyosema katika X na Y za mwanaume X ndiyo huwa na spidi zaidi kuliko Y, sasa ili kuiongezea spidi Y ni lazima mwanaume ujiandae ikibidi hata mwezi mmoja kabla, ule vizuri, ufanye mazoezi ya kutosha na usifanye hilo tendo mara nyingi ili uwe na nguvu za kutosha kuifanya Y iizidi nguvu X. Hii ndiyo sababu watoto wengi wanaozaliwa ni wa kike kwa sababu wanaume wengi wanamatatizo ya nguvu hasa miaka ya hivi karibuni.

Sasa wakati mwanaume anafanya urutubishaji mbegu zake hutoka spidi kubwa na ndefu kulitafuta yai kwenye mirija yake, sasa kwanini tunashauri iwe ni karibu na siku za mwanamke? Ni kwa sababu yai la mwanamke mpaka kufikia kupevuka na kupasuka huwa linasafiri taratibu na siku 1 au masaa kadhaa kabla ya hedhi yai huwa karibu kabisa na mlango hivyo kuzipunguzia mbegu za mwanaume zisisafiri umbali mrefu kulifikia yai na hivyo kuongeza uwezekano wa Y kutochoka njiani kabla ya kupitwa na X.
 
Pointi yako ya pili siyo sahihi

Conceiving a Boy: Ovulation Timing

how-to-conceive-a-boy.jpg

How to Conceive a Boy

During my research on "how to conceive a boy", I found out that ovulation timing is one of the factors you'll want to consider. It's not the most crucial factor, but hey, every little bit helps, right? What "ovulation timing" means with respect to baby gender selection is timing when you have intercourse in relation to ovulation.

So, the question is should you have intercourse close the time the egg is release or a few days after? If you're trying to conceive a son, try to have intercourse as close to ovulation as possible. The means as soon as you think your about to ovulate (You can usually tell a few days prior. See the tips below.), have intercourse. Then, at the latest, have it again when you're fairly certain the egg has been released.

Make Sure Those Sperm are There and Ready for Action

Really the easiest way to make sure the male Y sperm are present and active enough to do some go is to make love every day as soon is you know your ovulation time is near. Now, you may be thinking all that lovin' is going to lower dad-to-be's sperm count and result in no pregnancy at all. For some reason, this is a fairly prevalent myth, but fortunately it's only partly true. In reality, having intercourse every two or three days shouldn't cause any problems.

How can you Time Your Ovulation?

New to ovulation timing? Don't worry, you're not alone. Plenty of parents just let nature take it's course and never worried about timing Mom's ovulation cycle, so it's not a big deal if you don't know how yet.

The easiest ovulation predictor is the regularity of your cycle. Just mark your calendar one the day your period starts. If you're cycle is fairly regular, about 14 days from then, you should ovulate again. The 9th to the 15th days are when you want to have intercourse because those days are when you're most fertile. Remember, though, if you've recently stopped birth control it can take up to six months for your cycle to normalize again.

Taking your temperature will give you some indication because your body temp will fall a little (usually to around 97º F). Right before you ovulate. To conceive a boy, start getting busy when you notice that temperature drop. Your vaginal fluids can also be an ovulation predictor. Right before ovulation, you'll probably be a little dry and the have relatively clear, smooth discharge during ovulation. Other times, any discharge will be rather sticky and yellowish.
 
How to Conceive a Boy: The Importance of the Diet

Did you know what you eat can affect whether you conceive a boy or a girl? Studies have shown correlations between what a woman eats and the gender she conceives. Again, remember, it may be the sperm that determines the baby's gender, but it's the conditions in Mom-to-be's body that determines which sperm (male Y or female X) reaches the egg. And your diet affects those conditions. So without further ado, here are some diet tips and foods to eat to conceive a boy.

Alkali (Low pH) Diet for Conceiving a Baby Boy

Keep in mind that "boy sperm" are more fragile than "girl sperm," so they can't live as long in an acidic environment. An acidic (high pH) reproductive tract favors X sperm. Our Y guys have a better chance in an alkali (low pH). To increase your body's alkalinity, avoid acidic foods and eat more alkaline foods. The good news is that most fresh veggies and fruits are alkali. If you're really serious about this, you can monitor your pH level with saliva test strips that tell you your pH level.

Raise Potassium, Control Calcium and Magnesium

Getting more potassium and less calcium and magnesium should also increase your chances of having a baby boy. The logic behind this is that potassium helps your body create thicker cervical mucus, which slows down the female sperm.
Another reason is that male Y sperm have an affinity for potassium and its presence helps them find the egg faster than the female X sperm. This is a matter of altering your balance of electrolytes, which is why you're supposed to lower your calcium and magnesium intake as well.

The only real piece of scientific evidence I've found for this is in an article called Sex selection: the ultimate in family planning found in the July, 1988 edition of Fertility and Sterility magazine. The article states that "A diet based on high potassium and sodium, and low magnesium and calcium for couples desiring boys claimed 84% success. No controls were provided."

They do, however, recommend limiting this method to no longer than 1.5 cycles. Also, don't go overboard with this. Increase your potassium levels to the highest healthy level and lower the other two to the lowest healthy level. Proper electrolyte levels are vital for a healthy heart and not something you should mess with too much.

Plenty of Calories and a Good Breakfast

Now, this may be obvious, since most of us try to eat well when we're trying to conceive anyway, but I thought I'd throw this in. A study from Exeter University in the UK found that women who get more calories over all tend to have sons. It states, "Fifty-six percent of women in the group with the highest energy intake gave birth to boys, compared to 45 percent in the group with the lowest energy consumption, according to the study."

Likewise, "Odds of having a boy were much higher for women who ate at least one bowl of breakfast cereal a day compared to women who ate less than one bowl a week." They suggest it's because cereal is usually fortified with minerals and provides nutritious whole grains. (We're talking Wheaties here, I presume, not chocolate sugar puffs.
 
Mwanamke ana mbegu(Chromosomes) za aina moja ambazo ni XX wakati mwanaume anazo za aina mbili ambazo ni XY, wakati mwanaume anatoa mbegu kwenda kwa mwanamke X na Y hutoka kwa pamoja lakini X ndiyo huwa na spidi zaidi kuliko Y. Kwahiyo kama mbegu hizo za mwanaume X ndiyo itatangulia kurutubisha yai basi utapata muungano wa X ya mwanaume na X ya mwanamke na kufanya XX na hivyo mtoto atakuwa wa kike. Ikiwa wakati wa urutubishaji Y ndiyo itawahi kurutubisha yai basi utapata muungano wa XY na hivyo utapata mtoto wa kiume.

Sasa kama nilivyosema katika X na Y za mwanaume X ndiyo huwa na spidi zaidi kuliko Y, sasa ili kuiongezea spidi Y ni lazima mwanaume ujiandae ikibidi hata mwezi mmoja kabla, ule vizuri, ufanye mazoezi ya kutosha na usifanye hilo tendo mara nyingi ili uwe na nguvu za kutosha kuifanya Y iizidi nguvu X. Hii ndiyo sababu watoto wengi wanaozaliwa ni wa kike kwa sababu wanaume wengi wanamatatizo ya nguvu hasa miaka ya hivi karibuni.

Sasa wakati mwanaume anafanya urutubishaji mbegu zake hutoka spidi kubwa na ndefu kulitafuta yai kwenye mirija yake, sasa kwanini tunashauri iwe ni karibu na siku za mwanamke? Ni kwa sababu yai la mwanamke mpaka kufikia kupevuka na kupasuka huwa linasafiri taratibu na siku 1 au masaa kadhaa kabla ya hedhi yai huwa karibu kabisa na mlango hivyo kuzipunguzia mbegu za mwanaume zisisafiri umbali mrefu kulifikia yai na hivyo kuongeza uwezekano wa Y kutochoka njiani kabla ya kupitwa na X.

Maelezo yako ya awali ni ya msingi na ya kuaminika lakini kumbuka kwa wanawake wenye mzunguku wa kawaida wa siku 28 yai linakuwa limepevuka siku ya 14 na linakuwa tayari kurutubishwa lakini hukaa katika hali hiyo kwa masaa yasiyozidi 48 na baada ya hapo yai hufa na kuanzia hapo ukuta ulioandaliwa ambao yai/kiumbe hujishikiza (implant) huanza kumeguka na hatimaye hutoka katika mfumo wa damu ambayo tunaiita hedhi.
Kwa mantiki hiyo uwezekano wa kupata mimba kuanzia tarehe 17 ni mdogo na hupungua kadiri mwanamke anavyokaribia kufikia hedhi na hivyo masaa machache kabla ya hedhi uwezekano hufikia % karibu 0 na wakati wa hedhi ndio hakuna kabisa.
 
Mkubwa licha ya ulichokiandika kuwa ni kweli au uongo, umejitahidi kukiwakilisha. Nimependa sana!
Kwa kuwa biology yangu ni ndogo sana, na fikiri ni vema nikisema sina kabisa, ila ntatumia haya maelezo yako kutafuta ukweli wake.
 
Kwanza inabidi siku hiyo uwe na nguvu za kiume za kutosha, Pili unatakiwa uvizie masaa kadhaa kabla hajaanza siku zake kwakuwa siku hiyo yai lake huwa lipo karibu kabisa

Kipimo cha nguvu za kiume za kutosha ni kipi? Interms of Newtons? Joules au watts? (Hizi ni theory za makanjanja ambao wanalaghai watu sitaki kuamini na wewe ni mmoja wao). Masaa kadhaa ni mangapi? Kuwa specific vinginevyo ni fix. unaposema kabla hajaanza siku zake unamaanisha kabla hajaanza hedhi? (Kama ndio, utakuwa umedanganywa-Toka yai kupevuka mpaka kuanza hedhi ni siku 14 na sio saa kadhaa)

Suala la mtoto wa kike au wa kiume halina theory/au scientific proof mpaka sasa, bado ni siri ya Mungu
 
Samahani kwa kuingilia mjadala naomba ushauri juu ya sudden heart attack inavotokea mara mbili hadi mara tatu kwa siku na kumpelekea ashindwe kupumua vizuri na kuhangaika sana
 
Maelezo yako ya awali ni ya msingi na ya kuaminika lakini kumbuka kwa wanawake wenye mzunguku wa kawaida wa siku 28 yai linakuwa limepevuka siku ya 14 na linakuwa tayari kurutubishwa lakini hukaa katika hali hiyo kwa masaa yasiyozidi 48 na baada ya hapo yai hufa na kuanzia hapo ukuta ulioandaliwa ambao yai/kiumbe hujishikiza (implant) huanza kumeguka na hatimaye hutoka katika mfumo wa damu ambayo tunaiita hedhi.
Kwa mantiki hiyo uwezekano wa kupata mimba kuanzia tarehe 17 ni mdogo na hupungua kadiri mwanamke anavyokaribia kufikia hedhi na hivyo masaa machache kabla ya hedhi uwezekano hufikia % karibu 0 na wakati wa hedhi ndio hakuna kabisa.
Naomba nikurekebishe hapo nilipo bold, kwa wanawake wenye mzunguko mfupi (Short cycle) 21 days anaweza kupata mimba wakati wa hedhi,
Pia yai la mwanamke linakuwa viable for only 18-24 hrs, and not up to 48 hrs. ila mbegu ya kiume inaweza kuwa hai kwa masaa 72
 
Namshukuru Mungu kwa kupata mtoto wa kiume bila kutumia hizi Sayansi, maani ni ngumu kuzifuata.
 
Naomba nikurekebishe hapo nilipo bold, kwa wanawake wenye mzunguko mfupi (Short cycle) 21 days anaweza kupata mimba wakati wa hedhi,
Pia yai la mwanamke linakuwa viable for only 18-24 hrs, and not up to 48 hrs. ila mbegu ya kiume inaweza kuwa hai kwa masaa 72
moto2012 asante kwa marekebisho yako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom