Jinsi ya kupata mimba ya mtoto wa kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kupata mimba ya mtoto wa kiume

Discussion in 'JF Doctor' started by Christa, Dec 17, 2012.

 1. Christa

  Christa Member

  #1
  Dec 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba msaada wenu,nimeolewa na nina watoto 2 wa kike.nifanyeje ili nipate mtoto wa kiume mana mme wangu anapenda sana watoto wa kiume hivyo ananikosesha raha.

  ======
  [​IMG]


  ========

   
 2. Marumia

  Marumia JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 649
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani pole.... Usiwe na stress sana especially ukiwa unataka kuonana na baba kwenye mambo yetu yale! Af maswala ya mtoto mshirikishe Mungu na pia usali sana mama kwa sababu Mungu wetu ni mwaminifu... Mshkuru sana Mungu kwa hao wawili aliokupa na hongera sana coz wapo wanaotafuta hata kushika mimba tuu na hawafanikiwi hivyo usivunjike moyo hata kidogo.

  Ila pia baba mtoto anatakiwa kubadili mtazamo wake kuhusu watoto... Mtoto ni mtoto jamani inategemea tu na utakavomlea. Kuna familia nyingine zna watoto wa kiume ila unakuta wa kike wanaout shine hata wale wa kiume hivyo ni swala la mtazamo tu.. Hata hivyo tuwasubiri wataalamu wa hayo mambo nna uhakika watakusaidia zaidi.
   
 3. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,672
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  pole sana,kwa ushauri tu,kama unataka mtoto wa kiume,chukua vijiko vitatu vya chakula vya sodium carbonate,changaya na liter moja na nusu ya maji,tumia mchanganyo huo kujisafisha sehemu za faragha kabla ya kukutana na mzee,kitu kitajibu
   
 4. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
 5. Christa

  Christa Member

  #5
  Dec 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  chakula cha sodium carbonate ni kip?/kinapatikana wap?
   
 6. Christa

  Christa Member

  #6
  Dec 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanx kwa ushaur wako@Marumia.
   
 7. stevelwa

  stevelwa Member

  #7
  Dec 17, 2012
  Joined: Nov 2, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoto wa kike: Hesabu siku tatu za mwanzo yaani siku ya 11,12 na 13 baada ya Mp na
  mtoto wa kiume: hesabu siku tatu za mwisho yaani siku ya 14,15 na 16 au 17 baada ya M
  p.

  ILA bado itasubiriwa mwanaume atatupia nini, coz mwanamke huwa ni XX wakati mwanaume huwa XY sasa hapo mwanaume akitupia Y basi unapata jaribu hiyo, kuna mtu wa mzunguko wa siku 28 alitumia mbinu hii na akapata kama alivyotaka, ikiwaje ni PM nkueleweshe kwa undani.
   
 8. Christa

  Christa Member

  #8
  Dec 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naanza kuhesabu siku ya kwanza ninapoanza Mp au baada ya kumaliza hedhi Mp?
   
 9. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,986
  Likes Received: 2,721
  Trophy Points: 280
  Hesabu mara unapopata MP
   
 10. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,332
  Likes Received: 1,758
  Trophy Points: 280
  Kama sikosei mwanaume ndio ana determine jinsia ya mtoto na kuna ambao wapo wachache huwa wanatoa jinsia moja tu hata azae na wanawake kumi (hapa wataalamu watanisahihisha maana nilisoma biology ya kujibia mtihani tu hivyo naweza nikawa sipo sahihi kabisa)
   
 11. R

  REAL INTELLECTUAL Senior Member

  #11
  Dec 18, 2012
  Joined: Dec 16, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tell him to stop that patriarchy behavior kabla Mungu haja chukua uamuzi juu ya hiyo
  tabia yake na mwambie akumbuke kuwa kuna wanao muomba MUNGU awape hata wa kike
  ambao yeye anawaona sio kipaumbele.
   
 12. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,986
  Likes Received: 2,721
  Trophy Points: 280
  Mkuu REAL I usemacho ni sahihi kuna wanaotafuta mtoto yoyote bila mafanikio.
   
 13. Sekema

  Sekema Member

  #13
  Dec 23, 2012
  Joined: Nov 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani shida ya Christa si tatizo la mmewake na wala hajaomba ushauri juu ya mmewake kutaka mtoto wa kiume na inawezekana mme wake hayuko siriasi kiivyo katika kutaka huyo mtoto wa kiume isipokuwa ni yy Christa ili kufanya mamboresho kaomba ushauri ili kama inawezekana apate mtoto wa kiume na ndo maana kauliza jinsi ya kutaka mtoto wa kiume! tujaribu kuelewa muhitaji anataka msaada gani/upi!
   
 14. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,672
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  baking powder ile ni sodium carbonate,unajua majimaji ya ukeni yana acid ambayo ni weak,sasa sodium carbonate ni weak base,ambayo inaanfanya neutralization proces na kufanya yale majimaji kuwa hayana acid,mbegu za kiume huweza survive katka hali hiyo,za kike haziwezi kusurvive
   
 15. Yona Edson

  Yona Edson JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,709
  Likes Received: 6,121
  Trophy Points: 280
  2mia malimao ndo acid yenyewe kuu mbegu za kike
   
 16. appoh

  appoh JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2013
  Joined: Mar 14, 2013
  Messages: 4,923
  Likes Received: 815
  Trophy Points: 280
  Ni rahisi sana subiri siku ya tatu baada ya breed kuanza utaona utando mweupe na mzito sasa hapo unaweza kumpa mimba mkeo I mean kukojoa shahawa zako na mimba ya mtoto wa kiume itapatikana.

  =================================================
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Sep 19, 2013
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 160
  Hii ukimuuliza mwanafunzi wa form three aliyesoma biology topic ya reproduction atashangazwa na hiki ulichoandika.

  Breed = Bleed
   
 18. Meljons

  Meljons JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2013
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 2,557
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Du,hii shule imeingiliwa na F ya biology
   
 19. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #19
  Sep 19, 2013
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 160
  Umeona eeehh!!
   
 20. appoh

  appoh JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2013
  Joined: Mar 14, 2013
  Messages: 4,923
  Likes Received: 815
  Trophy Points: 280
  basi hedhi niliipata hii mwaka jana nikajaribu kwa baadhi ya watu kama kumi wakafanya na wake zao na mimi nikafanya kwaka jana nikafanikiwa kupata motot wa kiume
   
Loading...