enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,065
- 3,585
Kutabasamu ndo nshashindwa yani najilazimisha lakini wapi na inanipa sana tabu nkiwa sehem za starehe watu wengi wananiogopa wakihisi mi spy(ukizingatia nanyoa military style)wakati hata mgambo sijapita napata tabu kweli I WISH I COULD BE SMILING ALL THE TIME