Jinsi ya kupata madini ya Almasi kutoka kwenye maiti

Almasi ni the biggest scam kutokea duniani ikifuatiwa na forex na bitcoin. kwakifupi almasi ni madini yasiyo na thamani yoyote..na 95% ya almasi duniani zinatengenezwa maabara...sema miaka ya 70s mabillionea wakubwa walikaa kikao cha kuiuza almasi kwa kuipa thamani isiyokuwa nayo, walitengeneza concept ya kuwa almasi ni ngumu kuipata mpaka wakawa wanaua watu migodini sehemu nyingi duniani ikiwemo Africa (Maana kuna sehemu West Africa Almasi zilikuwa zinaokotwa kama mchanga) ili ionekane ni dini rare kupatikana, mpaka leo migodi mingi ya almasi duniani haichimbi almasi ila hawa billioneas wakiona sehemu ina almasi wanaiwahi wanaigeuza mgodi lakini hawachimbi (wanaweza kuchimbisha watu kama botion) lengo ni kuzuia almasi kupatikana kwa urahisi sokoni ili isishuke thamani.
miaka ile waliiibrand almasi kama dini linalowakilisha 'kudumu' kwa misemo kama 'diamonds are forever' wakai'advertise almasi kama dini la kuonesha upendo na ikawa utamaduni nchi za magharibi ukitaka kuonesha upendo kwa mke/mume mpe pete/cheni ya almasi...Almasi ikawa advertiised kama dini special kwa pete za ndoa.
Matokeo yake hawa bilioneas walipiga pesa ndefu sana kwa kuuza madini wanayotengeneza maabara...
Unachotaka kutuaminisha ni kwamba Diamond sio rare...Anyways unaweza kua sahihi ila ningependa walau unipe mifano hai ya reserves 5 za diamonds unazozifaham hapa Tanzania....Nakubaliana na mleta mada Diamond ni moja ya allotropes za Carbon nyingine ikiwa ni Graphite
 
Back
Top Bottom