Nifanyeje kupata line ya lipa kwa mpesa?

Zinatolewa bure
faida zake
Hakuna zile tozo kwa miamala inayofanyika.
Ghalama za kutoa pia ziko chini tofauti na laini ya kawaida.
utaratibu
Fika ofisi za voda au kwa wakala ukiwa na
  • TIN number
  • Lesseni ya biashara
  • Maelekezo mengine utapewa ukifika kwenye ofisi zao
Pia wapo baadhi wafanyakazi wa vodacom, kwa baadhi ya maeneo, ambapo wanakufuata mahala ulipo, bure bila ghalama yeyote na kukupa huduma husika, unachotakiwa kufanya ni kuwapigia simu na kuwaeleza hitaji lako.
 
asante mkuu
 
Kuna vijana wanazunguka kwenye biashara za watu wanaunganisha wafanyabiashara na huduma ya lipa kwa MPESA. Hili ni sahihi au ni matapeli??
 
Kuna vijana wanazunguka kwenye biashara za watu wanaunganisha wafanyabiashara na huduma ya lipa kwa MPESA
  • Hao ni freelancer na hulipwa commission kulingana na idadi ya wateja wanao waunganisha katika kampuni husika.
  • Rejea hii nukuu👇
kwa baadhi ya maeneo, ambapo wanakufuata mahala ulipo, bure bila ghalama yeyote na kukupa huduma husika, unachotakiwa kufanya ni kuwapigia simu na kuwaeleza hitaji lako.
 
Back
Top Bottom