DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Nn
HahahhahaUko vizuri mkuu
HahahaHahahhaha
Kama kawaida yako Mzee wa 4g.
Hiyo siyo 4G, hiyo ni huduma ya pale makao makuu ya NASA, SPEED NI 10gb kwa sekundeHahahhaha
Kama kawaida yako Mzee wa 4g.
Siwez kukunasa kwa mistari hiyo ?Umejaribu kiasi chako
Huwezi aiseeeSiwez kukunasa kwa mistari hiyo ?
Nakuja pm , kupima kina cha majiHuwezi aiseee
Vp unaeza kumruhusu achimbe madin ya Mapenz ktk mgodi wako wa mapenz kwa mkataba huoUmejaribu kiasi chako
Hadi kinga iondolewe, anaweza kusainishwa.Vp unaeza kumruhusu achimbe madin ya Mapenz ktk mgodi wako wa mapenz kwa mkataba huo
wengine tunadandia bodyHahahhaha
Kama kawaida yako Mzee wa 4g.