Anthony Paschal
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 513
- 10
Hebu nijuze mkuu,ushaipata hiyo imei sasa,unaipataje au unajuaje namba gani imewekwa kwenye simu yako?
Hebu nijuze mkuu,ushaipata hiyo imei sasa,unaipataje au unajuaje namba gani imewekwa kwenye simu yako?
Imei nimeipata ila sijajua namna ya kuitafutaHebu nijuze mkuu,ushaipata hiyo imei sasa,unaipataje au unajuaje namba gani imewekwa kwenye simu yako?
1. Piga loss report kituo chochote cha polisi.Mkuu nimepoteza samsung yangu toka 14 July. Nilikuwa kwenye boda ikachomoka kutoka kwenye mfuko ikadondoka. Alieikota kaishatoa line. Nilikuwa sijui IMEI yake sasa kwa elimu yako nimeipata IMEI. Naomba way forward nifanyeje sasa niweze kupata simu yangu? Polisi vipi? Na TCRA wanapatikana vp? Maana niko Kigoma.
U
Uliipata simu yako au
Kumekuwa na maswali mengi kuhusu namna ya kupata imei ya simu iliyokwisha potea tayari. Njia hii ni kwa wale tu wenye google accounts (gmail, YouTube, n.k) na wamewahi kuingia kwenye accounts hizo kwa kutumia simu iliyoibwa. Hii ni kwa Android tu.
Fanya hivi :
1. Copy halafu paste hii link kwenye browser yako:
Sign in - Google Accounts
2. Log in kwa kutumia google account yako uliyokuwa ukitumia na simu iliyoibiwa.
3. Bonyeza penye icon ya Android
4. Hapo utaona simu Zote zilizofungua google account hiyo na imei zake
Mkuu unafungua email ya aina gani ? Yahoo , outlook ,gmail au ? Maana microsoft huwa zinatumia outlook ...Samahani mkuu na simu yangu Nokia lumia 520 Inagoma kufungua Email nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Gmail ndio inafanya kazi mkuu, ingawa nilisikia wamebadilisha utaratibu.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Nadhani walishauondoa huu utaratibu, kwa sasa sijafahamu njia nyingine mkuuKiongozi heri ya Mwaka Mpya. Nimejaribu njia uliyo elekea kupata taarifa za simu iliyopotea/kuibiwa nimekuta aina ya simu na tarehe niliyo register lakini haioneshi IMEI namba. Nafanyaje kiongozi kupata IMEI namba? Msaada wako please
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu hii hapa:Kiongozi heri ya Mwaka Mpya. Nimejaribu njia uliyo elekea kupata taarifa za simu iliyopotea/kuibiwa nimekuta aina ya simu na tarehe niliyo register lakini haioneshi IMEI namba. Nafanyaje kiongozi kupata IMEI namba? Msaada wako please
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo namba2 ya TCRA kuna gharama zozote?!1. Piga loss report kituo chochote cha polisi.
2. Nenda TCRA na hiyo imei. Watukujulisha kama iko hewani na namba ipi inatumika kwa sasa.
3. Jiandae kumkamata mwizi wako. Kumbuka kumiliki mali ya wizi Ni wizi