Jinsi ya kupata huduma ya Blackberry kupitia Verizon Blackberry Storm II

Dotori

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
544
24
Nilinunua Unlocked Blackberry Storm II ya Verizon toka maduka yanayouza bidhaa hii kwa njia ya mtandao huko Marekani.
Rafiki yangu tuliyenunua naye pamoja Blackberry Storm II ameweza kuitumia simu yake nchini Afrika Kusini na ameweza kupata Blackberry services bila shida lakini mimi nimejaribu kwenda Vodacom, Airtel na Tigo, kampuni zote hizi zimeshindwa kuniingiza kwenye huduma ya Blackberry. Kwa sasa ninaweza kuitumia kama simu ya kawaida kwa kuwa inakubali sim cards zote.
Kuna mtu ana utaalam au maarifa wa kuchakachua hii "unlocked Blacberry Storm toka Verizon" ili niweze kutimia hapa Bongo?
Noamba ushauri.
 
Yeah it is possible..you have to upload some tmo servicebooks in yr stormII but it needs a high technical know how to do it..u can pm me for more asst.
 
Hiyo blackberry yako ilikuwa inatumika huko USA kabla wewe ujanunua. so PIN yake bado ipo active ktk network ya Verizon.
Apo two things 1.either ubadilishe PIN uipe simu new pin,2.uwasiliane na verizone customer care wai release hiyo PIN kutoka ktk server zao.no one can do this but verizone.
Kubadili PIN ata Apa TZ inawezekana
Ningeweza kukusaidia but cpo Dar mpaka end of Jan 2011.nipo Arusha
 
Mkuu Inkoskaz:
Blackberry service book ktk hii simu ya Dotori sio kama azipo,zipo za Verizon,mpaka verizon wa release PIN yake ndo zitafutika na ndo utaweza register za network nyingine kama za tigo,Vodacom etc.
 
Hiyo blackberry yako ilikuwa inatumika huko USA kabla wewe ujanunua. so PIN yake bado ipo active ktk network ya Verizon.
Apo two things 1.either ubadilishe PIN uipe simu new pin,2.uwasiliane na verizone customer care wai release hiyo PIN kutoka ktk server zao.no one can do this but verizone.
Kubadili PIN ata Apa TZ inawezekana
Ningeweza kukusaidia but cpo Dar mpaka end of Jan 2011.nipo Arusha

Wapi ninapoweza kuipeleka hii simu kubadili hiyo PIN code?
 
Hao verizon wana mtindo wa kufunga simu zao ili ziwe zinatumia mitandao hiyo hiyo,mi nilinunua iphone 3gs USA nilikuwa natumia kama kawaida nilivyokuja huku ilinisumbua sana nikaja kugundua iko locked ikabidi niende Sapna ndio wakaiondoa lock,jaribu kwenda Kariakoo kuna fundi flani anaitwa DR Chiba yupo mtaa uanoingia sheli ya bigbon anaweza akakutolea hizo lock za Verizon sio lazima uwasiliane na Verizon kwa sababu hao Verizon wana mikataba na makampuni yanayotengeneza hizo simu za mikononi kama Blackbell na Iphone hawataki mitandao mingine itumie simu zao thats why huweka locked.
 
na nyie bana mnatoka ulaya simu inasumbua si nenda nunua nyingine tu au hela hamna ..anaanza mara verizone mara pini sijui mara change to pin 2...nunua ingine kwisha
 
Mkuu simu unanunua Dola 1800 lina tatizo dogo tu kama hilo utaiweka kabatini kweli wakati kutoa pin haifiki sh 70000? Au bure kupitia JF?
 
na nyie bana mnatoka ulaya simu inasumbua si nenda nunua nyingine tu au hela hamna ..anaanza mara verizone mara pini sijui mara change to pin 2...nunua ingine kwisha
Kaka kama huna jipya la kuchangia ni bora ukae kimya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom