Jinsi ya kupata GPA kali, kuepuka supplementary na jinsi ya kutodisco chuoni.

Vipi hizi gpa kwa chuo kama udsm

ww ukija UDSM lazima ukaze msuli wa maana kwa sababu kama umekuja kurelax tu,lazima uage mashindano mapema(kudisco),so karibuni wote mliochaguliwa UDSM mwaka huu,nahisi pia kama umechaguliwa UDSM ni watu ambao tokeo lao ni zuri,kwahiyo sitegemei mtu kuja hapa afu unalalamika tu kuhusu kitabu cha hapa,kama ukija kukomaa vizuri utaenjoy vizuri utapograduate
 
BIG UP SANAAAAA WAKUU......!!!!!
FOR REALLY HUU NI USHAURI WA BWEREREEEEEEE..... yaani BUREEEEE...!!!
"I MY SELF HAVE MORE CONFIDENCE ON YOUR ABILITY AND I BELIEVE YOU WILL ACHIEVE"
BEST OF LUCKY.......!!! AMEEN
 
Ikumbukwe point 5 ni kupata masomo yote 100% ikiwa na maana first class ni 4.4 mpaka 5.0 na kupata mfano ukiwa na A unaingiza kwenye formula 0.02X+3 so 70 ni 0.02x70+3=1.4+3=4.4

Kwa marks 100 inakuwa 0.02x100+3=2+3=5
Hapo ndio point 5 inakuwa imetengenezwa kwa somo moja then upate hivyo kwa masomo yote ili average iwe 5,si kazi ndogo
 
Rule 1: Go do what you are supposed to do, not what you want to do.
Rule 2: Rule 1 shall always prevail, mutatis mutandis!

Ahsante, masomo mema.

hahaha wankumbusha mbaaaliiii "mutatis mutanis"
 
Ikumbukwe point 5 ni kupata masomo yote 100% ikiwa na maana first class ni 4.4 mpaka 5.0 na kupata mfano ukiwa na A unaingiza kwenye formula 0.02X+3 so 70 ni 0.02x70+3=1.4+3=4.4

Kwa marks 100 inakuwa 0.02x100+3=2+3=5
Hapo ndio point 5 inakuwa imetengenezwa kwa somo moja then upate hivyo kwa masomo yote ili average iwe 5,si kazi ndogo

kweli ni kazi ngumu mkuu ila naamini mtu ukijituma utaeza
 
Ikumbukwe point 5 ni kupata masomo yote 100% ikiwa na maana first class ni 4.4 mpaka 5.0 na kupata mfano ukiwa na A unaingiza kwenye formula 0.02X+3 so 70 ni 0.02x70+3=1.4+3=4.4

Kwa marks 100 inakuwa 0.02x100+3=2+3=5
Hapo ndio point 5 inakuwa imetengenezwa kwa somo moja then upate hivyo kwa masomo yote ili average iwe 5,si kazi ndogo

Hebu toa ukungu hapa tuone vizuri...hivi hizi GPA zinaanza kuhesabiwa kuanzia mitihani ya mwanzo ama wanahesabu za alama ulizovuna mwaka wa mwisho tu
 
Soma sana,ipend fan yako,ucwe mbnafc ktoa mawazo kwa wenzako,ifany akili yako irelax inapchoka!na fanya maamuz sahih,ikiwem kusoma vitbu mbalimbl na hata kwny intrnet kwn kuna topic nzur sana!
 
Soma sana,ipend fan yako,ucwe mbnafc ktoa mawazo kwa wenzako,ifany akili yako irelax inapchoka!na fanya maamuz sahih,ikiwem kusoma vitbu mbalimbl na hata kwny intrnet kwn kuna topic nzur sana!

Shukrani sana mkuu...sasa hizi GPA zinaanza kuhesabiwa tangu mitiani ya awali ama wanahesabu za mwaka wa mwisho tu
 
mie ushauri wangu, zingatia module/masomo yenye unit kubwa unasoma kwa ustadi na kufaulu vyema, yanasaidia kupandisha sana GPA, na kama utafeli hayo yataporomosha sana GPA yako.
 
Back
Top Bottom