Jinsi ya kupata GPA kali, kuepuka supplementary na jinsi ya kutodisco chuoni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kupata GPA kali, kuepuka supplementary na jinsi ya kutodisco chuoni.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kiny, Sep 20, 2012.

 1. K

  Kiny JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu wote waliopata mkopo na wale waliokosa kwanza kabisa nipende kwa pamoja sote tumshukuru Mwenyezi Mungu kwani ana mipango na sisi wanadamu aijalishi umepata mkopo au la. Basi ndugu zangu bila kuwachosha nilete yangu yalo moyoni na atakayeweza kunipa mawazo, maoni na msaada mwingine naomba atupie hapa. Mimi ni kijana niliyezaliwa katika kijiji kidogo nikiwa mtoto wa 17 kati ya watoto 30 wa baba yangu nikimaanisha kuwa kuna wakubwa zangu wasio na uwezo mzuri kiuchumi 16 na wadogo zangu ambao pengine wananitegemea 12. Kutokana na hali hiyo ya familia niliamua kukimbilia kutafuta elimu ambayo itakuwa ni mkombozi kwangu na hata familia na jamii kwa ujumla. Basi kwa neema ya Mungu nilifanikiwa kufaulu kidato cha nne kwa kupata dalaja la kwanza (16 ) na baadae kujiunga kidato cha tano na cha sita nikafaulu kwa dalaja la kwanza (9) basi kama ilivyo furaha ya wengi hata mimi mwenzenu mimefanikiwa kuchaguliwa Bachelor of science in nursing university of Dodoma na kupata mkopo 4,032,500/= lakini baada ya kusikia kuwa mtu anapopata GPA kali mfano 5 inakuwa ni lahisi kutoka kielimu na pengine kubakizwa chuoni kuwa tutorial lecturer nimekuja kwenu wa jf na great thinkers muweze kunipa/kutupa mawazo au ushauri sisi sote ili kuepukana na supplementary, kuto disco na hatimae kupata GPA kali hili kuweza kukomboa familia kama yangu na zaidi kupata elimu ambayo itakuwa ya manufaa kwa jamii na wala si elimu ya kukariri ukizingatiwa nitadili na afya ya binadamu. ASANTE KWA KUNISIKILIZA , NAKARIBISHA MAWAZO/ Ushauri WENU.
   
 2. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jilipue wakati wa mitihani!!.
   
 3. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  cha muhimu soma kwa malengo na utambue kilichokuleta chuo na aliekwambia kna kubakzwa chuo si ivo lazima uombe kule si mring kaka
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,889
  Trophy Points: 280
  Piga chabo.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 5. A

  Awadh Mabaraza Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Udhuria mapindi, jisomee, fanya kaz zote unazopew na lectr (coz work) afu gonga fresh matest na pepa ya mwisho..
  Bhaaaaaaaaaaaaaac
   
 6. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kihalali:
  Fanya assignents vizuri.
  Usipitwe na quiz hata yenye max1,uwe unajizoeza kusoma kwa uelewa lecturer anapofundisha somo fulani. Uwe unapunguza mzigo wa notes ambazo hazijasomwa ,kwa kupitia kidogo kidogo na siyo 'fayatingisha' karibu na mtihani. Kikubwa ni uelewa..na kupangilia muda wako na ratiba yako vizuri. Na yote yanawezekana ukimtanguliza mbele 'MUNGU MWAMINIFU',kwa Kila jambo,katika Masomo na Maisha yako.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  1.tafuta madesa
  2.Acha ujivuni(u-much know)
  3.Usharo weka pembeni/mademu weka pembeni
   
 8. K

  Kulya JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Rule 1: Go do what you are supposed to do, not what you want to do.
  Rule 2: Rule 1 shall always prevail, mutatis mutandis!

  Ahsante, masomo mema.
   
 9. A

  Apex JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bro kwanza hongera kwa kutambua umuhimu wa elimu alihal familia yako kuwa na msingi mbaya wa elimu,kaka pili ni kwamba degree moja hauwez kuwa asst.lecturer coz huyu lzm awe na masters, bt degree ni tutorial,tatu hili upige gpa safi
  1,zingatia vipind vyote
  2,piga qnz zote
  3,soma kwa kuelewa cyo kukariri
  4,achana na maEVA/HAWA
  5,control boom isikuchanganye
  6,mwombe Mungu
  7,jenga mazingira rafik kwa wanachuo wenzako.
   
 10. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  umemeliza kila kitu
   
 11. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Na mimi hapa nimepata kitu, nashukuruni jamani
   
 12. deni

  deni Senior Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 182
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ahsanteni, na mie nimejifunza.
   
 13. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Watoto Wengi mliomaliza high school mkienda chuo mnachachawa na mabinti; tofauti na Huko Nyuma uhuru chuoni Ni mkubwa, Mabibi if Ur not smart will make you fail.


   
 14. K

  Kiny JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nashukuru sana kaka kwa ushauri wako be blessed.
   
 15. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Huu ushauri mzuri sana ndugu...nimepata kitu na mimi hapo
   
 16. K

  Kiny JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kaka asante sana iyo tutorial ndo nimechanganya na assistance ki ukweli ushauri wako mzuri sana ingewezekana ningeprint page lakini naomba unisaidia hapo namba 5. Kuhusu boo control maana huku nyumbani familia nzima wanafanya sherehe wakisema boom likiwa linaingia natuma hata laki 250 kwa ajili ya wadogo zangu huku wakisisitiza kuwa health related fields zote huwa wanaongezewa hata motisha je kwa wale wazoefu inawezekana nikajibana vip ili niweze kusatisfy pande zote nyumbani na mi mwenyewe.
   
 17. K

  Kiny JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  big up be blessed
   
 18. G

  Genius 1 Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  10x 2megain vbayaaa! 2nawsh kufanyia kaz ur advace
   
 19. bologna

  bologna JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 1,161
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  Kijana kutoa 250,000 hakuwezi kukufanya ushindwe kusoma chuo. la msingi tambua hali uliokua nayo then usifuate makuu hapo chuoni. Jitambue ww umetoka familia gani. Kumbuka hiyo hela ni ya kusomea sio kununulia i pad kama wengine familia bora wafanyavyo. Kama c mtu wa starehe hiyo pesa itakuwezesha tu kumaliza chuo vizuri. Kuhusu GPA kijana soma sana then uwe unaelewa mambo vizuri. Chuoni sio kama elimu ya F4 na F6 ambako mtihani wa muhimu upo mmoja tu ule wa taifa, then baada ya miaka 4 na 2. Huku kila mwez lazma ukumbane na mtihani kama sio assignment na mengineyo, hivyo vyote hurekodiwa ili upate GPA nzuri.

  Mwisho mwombe sana Mungu akusaidie 7bu walimu wengine wanakuaga na MAPEPO ya kuwapa makarai C wanafunzi. Hivyo kuvunja ndoto za WANAFUNZI ktk GPA. Ni hayo tu, MUNGU AWASAIDIE NYOTE MFAULU.
   
 20. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  bro mm cjaelewa maana ya madesa, naomba nifafanulie vzur
   
Loading...