Jinsi ya kupata free channel kwa kupitia smart tv

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,103
3,468
Habarini wandugu,
Ninaomba kuelekezwa njia ya kufanya ili niweze kuona free channel bila kutumia kisambusi kupitia moja kwa moja kwenye tv.
Nitashukuru sana.
 
Kama ni smart tv mkuu hakuna cha bure jiandae na bundle la mb.
Weka app kama azam app, mobdro nk
 
Back
Top Bottom