Jinsi ya kupata driving licence mpya kwa haraka!

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,303
photowide



Hii ni story ya kweli kuhusu jinsi ya kupata hizi leseni mpya za kundesha gari. Old wine in a new bottle.

Tanzanian authorities have introduced a new machine-readable driving licence to crack down on the rash of unqualified drivers using fake licences, a combination thought to be partly to blame for the country's many road accidents and reckless driving.

According to the Tanzania Revenue Authority (TRA), the old driving licence was prone to manipulation because it did not specify whether the owner was qualified to drive different types of passenger vehicle. Under the new system, drivers have to undergo training at recognized institutions, irrespective of their prior driving experience, before obtaining a licence for their vehicle. But my experience in getting a new licence showed that the new system has failed to stamp out cheating and that corruption persists -- at a cut-rate price.

Driving licences are grouped in 14 different classes, depending upon the capacity of the vehicle and whether it carries passengers. Although the road Traffic Act No 30 of 1973, as amended under (CAP 168 RE 2002), makes it illegal for anyone to forge or tamper with driving licences or to drive on an expired licence, the new system is still open to corruption that enables unqualified people to obtain the document.

I went through the procedure last year. As a journalist I was keen to see how it worked and whether it sealed off the opportunities for corruption. I suspected there might be a problem when I arrived at the TRA office because I had never attended a driving school. But I wanted to see how rigorously the officials vetted applicants.

The TRA officer in charge first asked me whether I had been through any training. My response was an emphatic "No." The officer then handed me several forms that I filled out so that I could apply for a provisional or LEARNER licence. My fingerprints were recorded using an electronic system resembling the one I saw at the U.S. embassy in Dar es Salaam when I was applying for a visa five years ago.

Then I was given a payment slip so that I could pay at a nearby bank, and my LEARNER licence was issued the following day. As I was leaving the building, licence in hand, I met a man who introduced himself as Kabaju. He was eager to help me and asked if there had been any problems. I told him I had to go for training at a recognized driving school and that the full driving licence would be issued upon successful completion of my course.

Kabaju produced what appeared to be a Class C1 driving licence that he said he had secured without undergoing any training. That shocked me. It is very demoralizing for someone who is keen to stick to the law to find other people breaking it. Kabaju insisted that the training procedure was so cumbersome, it would likely complicate matters and wasn't my best bet. I wanted to follow the due procedures, but then another thought came: Maybe I should try his way, just to observe the dirty tricks.

Kabaju introduced me to a police officer known by his nickname Bonge, possibly because of his huge physique. Without mincing his words, he told me in Swahili, "Lete mzigo," which means: Pay me my dues. Kabaju had told me earlier that this man would need Tanzania shillings 20,000 ($12) to declare that I had passed my driving test. Bonge indicated that I got excellent marks even though I had had none of the required training, nor had I been tested for competence. What he demanded was illegal, but I decided to pay him because I wanted to write the story exposing the corruption.

After pocketing his Tsh.20,000, Bonge filled in several forms, putting details in a huge ledger and adding signatures. He told me to go next door so that a senior official could approve my case. I realized that though their actions were illegal, there was a great deal of cooperation among the police officers. It is possible that they share out the bribes equally.

A genuine new driving licence costs about Tsh.50,000 ($30) which include Tsh.10,000 ($6) already paid for the LEARNER licence. But for only Tsh.20,000 ($12), one can quickly secure a licence under false pretences.

I went next door and met a sharp-eyed woman who asked me a number of questions about driving. It was quite clear that I was not qualified. She asked me if I had brought the vehicle with me for testing. I said, "No." She told me to come the next day, and as I was making my way out she pulled my shirt and whispered to me in Kiswahili, "Sijanywa chai' – I have not had my breakfast yet.

I was not prepared to give any more bribes. I knew she would get her cut of the bribe money, and I told her that I would not give a cent. She simply told me to come the next day.

The following day, my document was ready and waiting. I sent it along with the bank receipt to the TRA office. This is how many Tanzanians can obtain their new official driving licence without going through the correct procedures.

So what has changed? Surely this new system is like old wine in a new bottle?

Kizito Makoye is a Tanzanian journalist based in Dar es Salaam

http://www.trust.org/trustlaw/blogs/anti-corruption-views/tanzanias-new-driving-licence-system-old-wine-in-new-bottles

 
Do you beleive the accidents are coused by these iilligal procedures?, or incompetence of the drivers? I have so many examples of drivers who attended driving classes, passed police tests, acquired licence, and yet they dont perform good driving. I dont accept curruptions in providing driving licence, but believe that having legal licence does not mean good driver.
 
Nenda pale MyFair Plaza, kuna vijana kibao wako pale chini, ukifika wanakuchangamkia vizuri sana na unaeleza shida yako, unawapa pesa, unatulia wao wanajaza kila kitu pamoja na kwenda kukulipia bank, unachotakiwa wewe ni kutoa pesa na kutulia, baada ya muda utaitwa ndani kule juu nadhani floo ya pili ile, utasubiri jina litaitwa utapigwa picha na fingerprints zitachukuliwa na sahihi utaweka.
After that, nenda kaendelee na kazi zako halafu kesho yake utapigiwa simu na hao vijana wanakukabidhi leseni yako.......hata kama hujui kuendesha gari ukifika pale lazima upate leseni tena kwa madaraja unayoyataka......ukimjulisha unapata AJALI

Unataka namba zao na majina yao niwapeni???
 
Nenda pale MyFair Plaza, kuna vijana kibao wako pale chini, ukifika wanakuchangamkia vizuri sana na unaeleza shida yako, unawapa pesa, unatulia wao wanajaza kila kitu pamoja na kwenda kukulipia bank, unachotakiwa wewe ni kutoa pesa na kutulia, baada ya muda utaitwa ndani kule juu nadhani florr ya pili ile, utasubiri jina litaitwa utapigwa picha na fingerprints zitachukuliwa na sahihi utaweka.
After that, nenda kaendelee na kazi zako halafu kesho yake utapigiwa simu na hao vijana wanakukabidhi leseni yako.......hata kama hujui kuendesha gari ukifika pale lazima upate leseni tena kwa madaraja unayoyataka......ukimjulisha unapata AJALI

Unataka namba zao na majina yao niwapeni???


Afande Bonge si bado yupo?
 
Uzuri Tanzania ni kuwa wezi wanajulikana na Rais anawajua .Polisi ikija kukukamata ukafumba macho naye anafumba macho
 
Do you beleive the accidents are coused by these iilligal procedures?, or incompetence of the drivers? I have so many examples of drivers who attended driving classes, passed police tests, acquired licence, and yet they dont perform good driving. I dont accept curruptions in providing driving licence, but believe that having legal licence does not mean good driver.

Ziko sababu nyingi and lack of competence in driving ni mojawapo.
 
Ngoja tufanye utafiti hapa hapa.....walipata leseni zao kihalali humu ndani mikono juuu.....
Binafsi nimeamua kuendesha bila leseni kabisa maa hata ukiwa nayo Trafiki akikuulizia ukimuonesha anaweka mfukoni mwake na hakurudishii mpaka umpe Rushwa. Leseni Mpya sio Mwarobaini wa Ajali. Mwarobaini wa ajali ni polisi kuwa waadilifu na makini kwenye kazi tu. Rushwa ndo inatumaliza kwenye ajali za barabarani. Na ukitaka usikamatwe kama unaendesha gari ndogo hata kutoka Arusha Mpaka Mbeya au Tunduma. we Bandua tu stika zote kwenye kiyoo. Vaa Smart na Ukiona trafiki tu mbele kakusimamisha ongea naye ukiwa umekunja sura ifanane na goti. UONE. Mimi ndo mtindo wangu wewe je?
 
Ngoja tufanye utafiti hapa hapa.....walipata leseni zao kihalali humu ndani mikono juuu.....
aaaaa shuubutuuuuu! nani atanyoosha?
hata mapadre, wachungaji na mashehe wanaokataza uwongo makanisani nao hawajazipata kihalali achilia mbali wabunge ambao ndo watunga sera, hao maafande walipitia chuo gani cha udereva? nao pia hawajazipata kihalali.
MTOA RUSHWA NA MPOKEA RUSHWA HAWA NI NDUGU WA DAMU NA NI RAIA WOTE WATZ.
labda kabla ya kwenda mbali, ni mtanzania gani kuanzia mkuu wa kaya ambaye hajawahi kutoa rushwa tz?
 
aaaaa shuubutuuuuu! nani atanyoosha?
hata mapadre, wachungaji na mashehe wanaokataza uwongo makanisani nao hawajazipata kihalali achilia mbali wabunge ambao ndo watunga sera, hao maafande walipitia chuo gani cha udereva? nao pia hawajazipata kihalali.
MTOA RUSHWA NA MPOKEA RUSHWA HAWA NI NDUGU WA DAMU NA NI RAIA WOTE WATZ.
labda kabla ya kwenda mbali, ni mtanzania gani kuanzia mkuu wa kaya ambaye hajawahi kutoa rushwa tz?

Hata mwandishi wa hii makala bwana Kizito makoye ndio wale wale....sema anajaribu kujustify utoaji wake kwa ajili ya kupata habari...ha ha ha...
 
Acha uchokozi kesho Ijumaa ujue, hebu imagibne una leseni yako ya Kimagumashi halafu unapandisha Mombo-Kwenda Lushoto, Wallah lazima uliache kule kule. Ile barabara ni Nouma mzeeohoooooo Mosie Mahundo iwe
aaaaa shuubutuuuuu! nani atanyoosha?
hata mapadre, wachungaji na mashehe wanaokataza uwongo makanisani nao hawajazipata kihalali achilia mbali wabunge ambao ndo watunga sera, hao maafande walipitia chuo gani cha udereva? nao pia hawajazipata kihalali.
MTOA RUSHWA NA MPOKEA RUSHWA HAWA NI NDUGU WA DAMU NA NI RAIA WOTE WATZ.
labda kabla ya kwenda mbali, ni mtanzania gani kuanzia mkuu wa kaya ambaye hajawahi kutoa rushwa tz?
 
Hiyo ndio bongo bana hakuna linaloshindikana ili mradi mfuko uko vizuri
 
mwandishi wa hiyo makala licence anayotumia ndo hiyo aloipata kwa kutoa rushwa, inawezekana kabamizwa hela nyingi ndo maana akaandika makala kwa chuki.... mhuni tu anatuzuga, hii ni nchi ya kitu kidogo bwana, hakuna msafi atakayenyoosha kidole kuwa hajawahi kutoa au kupokea rushwa tz, mfumo mzima na kila unachotaka kukifanya ni lazima utumie pesa.
Hata mwandishi wa hii makala bwana Kizito makoye ndio wale wale....sema anajaribu kujustify utoaji wake kwa ajili ya kupata habari...ha ha ha...


Acha uchokozi kesho Ijumaa ujue, hebu imagibne una leseni yako ya Kimagumashi halafu unapandisha Mombo-Kwenda Lushoto, Wallah lazima uliache kule kule. Ile barabara ni Nouma mzeeohoooooo Mosie Mahundo iwe

yaani mtumba ekadu..
nkazi sana.
kwa hapa kwetu tz tupo zaidi ya milioni 40, wale wote waliofikia umri wa kuanza kujitambua ni watoa rushwa na wapokea rushwa, tupende tusipende hakuna ambaye hatoi wala kupokea rushwa tz, tunachozidia ni kiasi na mazingira na majina tu, wengine wanaita asante, mara takrima nk.
 
Kama unataka kushangaa nenda pale TRA Samora kitengo cha leseni za udereva. Mawakala wa maafisa TRA (vishoka) wametanda kwenye ngazi za kupandia kuanzia chini hadi juu. Ukiingia ndani tena ndo usiseme. Wakiona mtu anaingia wanamgombania kama wapiga debe wa ubungo terminal wanavyofanya, yaani aibu tupu.

Utakuta mtu umekaa kwenye foleni unasubiri huduma, kishoka anakuja ana majina yake kama ishirini hivi, hapangi foleni moja kwa moja kwa afisa husika na anahudumiwa hapo wakati wengine miguu inataka kuingia ndani kwa kusimama huku nguo zote zimelowa jasho. Kuna siku nilitaka kumtia makofi mmoja, eti yeye taita hataki kuhojiwa. Na watanzania huu "upole wetu" nao utatuponza. Mtu umepanga foleni halafu anakuja mtu mwingine anavunja utaratibu na nyie mnamwangalia tu, kisa anajuana na wahusika....narabuuuku!
 
Naamini hata kitambulisho cha kupigia kura kinaweza patikana kimagumashi.Kzi ipo!
 
photowide



".. My fingerprints were recorded using an electronic system resembling the one I saw at the U.S. embassy in Dar es Salaam when I was applying for a visa five years ago..."

Did you want to tel us about your USA VISA????

anaway hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya ajali na Fake Driving License!
Ajali utokea kwa sababu madereva wengi wanakiuka sheria na taratibu za barabarani
Watanzania tukifika sehemu tukatii sheria na taratibu bila shuruti mambo mengi yatabadilika sana!
 
Kudo! Kizito kwa kuthubutu na kuchukua hatua hata kama ripoti inahitaji maboresho kidogo. Kama location mazee manake umetaja tra na police hizi ziko nyingi country wide na wataruka kimanga.

Leseni mpya zimeshindwa kufikia malengo manake traffic walifanya mpaka semina kibao na nilihudhuria moja Kyela Mbeya iliendeshwa na RTO marufu Obama, lakini hakuna hata moja waliotekeleza kama ukikosea wana record lakini jamaa wanatoa kimagumashi na wanapiga hela na sijui mradi huu kaleta nani? Nadhania atakuwa ameshakufa manake hata aliyeandika mradi hana habari
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom