NgimbaErick
Member
- Mar 31, 2020
- 85
- 131
Leo ntakuonesha namna utakavyoweza kupata domain ya .com bure kwa mwaka mzima na pia hosting ya kudumu bure kabisa ya Tsh. 0.
Fuata hatua zifuatazo kwa usahihi na kwa umakini ili kuvipata hivyo vyote viwili.
1. Fungua akaunti ya Gmail mpya.
2. Nenda tena google andika Yahoo Small Business kisha fungua link ya kwanza kabisa iliyoandikwa Domain Names, Website Builder, Web hosting & More | Yahoo! Small Business , utaona ukurasa kama huu, na kisha bonyeza palipoandikwa LEARN MORE.
3. Utakutana na sehemu imeandikwa START FOR FREE bonyeza hapo na uanze kujaza taarifa zako na za biashara yako.
4. Ukimaliza kujaza taarifa zako, utafika mahali pa kuweka taarifa za malipo, hapa chagua PAYPAL kwa sababu utaweza kuzuia wasikukate hela yoyote pale mwaka 1 utakapopita.
5. Endelea kufuata maelekezo mpaka utafika kwenye ukurasa wa kujaza taarifa za paypal.
6. Ukifanikiwa kukamilisha kuunganisha akaunti yako ya Paypal utaambiwa uhakiki email yako na kwahiyo utafungua inbox utakuta ujumbe wa kuhakiki email fuata maelekezo na ukamilishe hilo.
7. Ukifanikiwa kuhakiki watakuleta kwenye DASHBOARD ya small business, na utaulizwa baadhi ya maswali utahitaji kuyajaza.
8. Ukikamilisha hatua hiyo, nenda semehu ya kuchua domain, pameandikwa “claim and verify domain”.
9. Search domain unayotaka na ubonyeze GET IT NOW , ili kukamilisha usajili wa domain.
10. MUHIMU: Ukikamilisha usajili wa domain, utatumiwa emails kadhaa za kuhakiki domain. Hakikisha unafuata hizo emails na unakamilisha la sivyo domain yako itafungiwa mbeleni.
11. Hatua inayofuata ni kuzuia mfumo wao usikate malipo yoyote kwenye Paypal yako mara mwaka mmoja utakapoisha.
12. Ukikamilisha Hapo twende sasa kwenye HOSTING ya BURE. Nenda google andika Infinity Free. na ubonyeze link ya kwanza. Itakuleta hapa na uanze usajili kwa gmail yako.
13. Ukikamilisha usajili na kuthibitisha email yako, ingia kwenye akaunti yako ia Infinity Free (Client Area) na ubonyeze CREATE ACCOUNT ili kuunganisha Domain yako kwenye Hosting hii.
14. Bonyeza palipoandikwa Custom Domain na ujaze Domain yako.
15. Baada ya kubonyeza Search Domain, utaulizwa kujaza taarifa za password, utakapobonyeza Create Account. Utaletewa ujumbe wa maandishi Mekundu kuwa unatakiwa kujaza hizo Nameservers kwenye Domain Provider wako.
Nameservers za kujaza kule Small Business ni Hizi:
Utazi-copy na kupaste kwenye Small business kule kama ifuatavyo:
16. Fungua kuule kwenye Small Business, nenda sehemu ya Domains , shuka chini mpaka utakapoona sehemu imeandikwa nameservers, bonyeza change. Na uondoe hizo za yahoo kisha jaza zile za Infinity Free, kwa kuanza na hiyo ya ns1.
17. Rudi kule infinity Free umalizie zile hatua za kuunganisha domain. Na hapo utakuwa umemailiza kuunganisha Domain na Hosting. Kama utahitaji kuweka wordpress Bonyeza Control Panel na uendelee.
MUHIMU: Hizo nameservers zinaweza kuchukua muda kidogo, kuwa hai. Nakushauri usubiri kama lisaa ndiyo uendelee na shughuli zingine za website.
Nakushukuru kuwa nami kwenye mafunzo hayo mafupi ila …
Kama unaona hutaweza au umeshindwa kufanikisha hizo hatua za kupata Domain ya .com na Hosting ya Bure. kutokana na sababu kama hizi:
Nimeandaa program fupi ya kukusaidia kukamilisha hizo hatua zote za kupata Domain yako ya .com na hosting ya bure. Ambapo mimi ntaifanya iyo kazi yote na kwa kutumia akaunti yangu ya Paypal iliyothibitishwa.
Nenda kwenye Website yangu hii : http://domainnahostingbure.com/
Na upate domain yako ya .com na hosting bure bila ya wewe kufanya kazi yoyote ile, kwa usalama zaidi na uhakika.
Fanya hivyo tembelea: http://domainnahostingbure.com/
Imeandaliwa na Erick Ngimba
UI/UX Website Designer.
+255 742 140 574

- Nenda google andika Gmail Sign up na ukamilishe hili. Sidhani kama hili huwezi eti. Kwahiyo fungua gmail mpya kwanza.
- Utaitumia akaunti hii popote utakapoulizwa email.
2. Nenda tena google andika Yahoo Small Business kisha fungua link ya kwanza kabisa iliyoandikwa Domain Names, Website Builder, Web hosting & More | Yahoo! Small Business , utaona ukurasa kama huu, na kisha bonyeza palipoandikwa LEARN MORE.
3. Utakutana na sehemu imeandikwa START FOR FREE bonyeza hapo na uanze kujaza taarifa zako na za biashara yako.
4. Ukimaliza kujaza taarifa zako, utafika mahali pa kuweka taarifa za malipo, hapa chagua PAYPAL kwa sababu utaweza kuzuia wasikukate hela yoyote pale mwaka 1 utakapopita.
5. Endelea kufuata maelekezo mpaka utafika kwenye ukurasa wa kujaza taarifa za paypal.
- KUMBUKA: Hawatakukata hata senti 1, kwasababu hii ni programu ya bure kwa kwa mwaka wa 1.
- PIA: Hakikisha una akaunti ya Paypal iliyothibitishwa la sivyo hutaweza kukamilisha hatua hii kabisa.
6. Ukifanikiwa kukamilisha kuunganisha akaunti yako ya Paypal utaambiwa uhakiki email yako na kwahiyo utafungua inbox utakuta ujumbe wa kuhakiki email fuata maelekezo na ukamilishe hilo.
7. Ukifanikiwa kuhakiki watakuleta kwenye DASHBOARD ya small business, na utaulizwa baadhi ya maswali utahitaji kuyajaza.
- Sehemu ya namba ya simu, utabuni namba yoyote ya marekani ujaze, maana huwezi kujaza namba ya nchi nyingine yoyote hapo.
8. Ukikamilisha hatua hiyo, nenda semehu ya kuchua domain, pameandikwa “claim and verify domain”.
9. Search domain unayotaka na ubonyeze GET IT NOW , ili kukamilisha usajili wa domain.
10. MUHIMU: Ukikamilisha usajili wa domain, utatumiwa emails kadhaa za kuhakiki domain. Hakikisha unafuata hizo emails na unakamilisha la sivyo domain yako itafungiwa mbeleni.
- Ujumbe unaweza ukachelewa kidogo kufika ila ukifika hakikisha unakamilisha.
11. Hatua inayofuata ni kuzuia mfumo wao usikate malipo yoyote kwenye Paypal yako mara mwaka mmoja utakapoisha.
- Utakwenda kwenye paypal yako Kisha fuata maelekezo haya na mtiriko huu:
- Bonyeza, Sehemu ya Settings > Account Settings > Website Payments > My automatic Payments > Update > My Approoved Payments > Yahoo Aabaco Small Business > Cancel > Yes.
12. Ukikamilisha Hapo twende sasa kwenye HOSTING ya BURE. Nenda google andika Infinity Free. na ubonyeze link ya kwanza. Itakuleta hapa na uanze usajili kwa gmail yako.
13. Ukikamilisha usajili na kuthibitisha email yako, ingia kwenye akaunti yako ia Infinity Free (Client Area) na ubonyeze CREATE ACCOUNT ili kuunganisha Domain yako kwenye Hosting hii.
14. Bonyeza palipoandikwa Custom Domain na ujaze Domain yako.
15. Baada ya kubonyeza Search Domain, utaulizwa kujaza taarifa za password, utakapobonyeza Create Account. Utaletewa ujumbe wa maandishi Mekundu kuwa unatakiwa kujaza hizo Nameservers kwenye Domain Provider wako.
Nameservers za kujaza kule Small Business ni Hizi:
- ns1.epizy.com
- ns2.epizy.com
Utazi-copy na kupaste kwenye Small business kule kama ifuatavyo:
16. Fungua kuule kwenye Small Business, nenda sehemu ya Domains , shuka chini mpaka utakapoona sehemu imeandikwa nameservers, bonyeza change. Na uondoe hizo za yahoo kisha jaza zile za Infinity Free, kwa kuanza na hiyo ya ns1.
- ns1.epizy.com
- ns2.epizy.com
17. Rudi kule infinity Free umalizie zile hatua za kuunganisha domain. Na hapo utakuwa umemailiza kuunganisha Domain na Hosting. Kama utahitaji kuweka wordpress Bonyeza Control Panel na uendelee.
MUHIMU: Hizo nameservers zinaweza kuchukua muda kidogo, kuwa hai. Nakushauri usubiri kama lisaa ndiyo uendelee na shughuli zingine za website.
Nakushukuru kuwa nami kwenye mafunzo hayo mafupi ila …
Kama unaona hutaweza au umeshindwa kufanikisha hizo hatua za kupata Domain ya .com na Hosting ya Bure. kutokana na sababu kama hizi:
- Huna akaunti ya Paypal iliyothibitishwa
- Hatua zinachanganya sana.
- Unahofia kukosea na kuaribu kazi.
- Unahofia usalama wa akaunti yako ya paypal
- Au sababu yoyote ile.