Jinsi ya kupata akaunti kwenye jf

Mtumie PM Invisible au PainKiller au Max Melo na watakujulisha cha kufanya.
Ni hayo tu.

Nashukuru sana Mkubwa sasa Kwani jamaa si wameiona hii meseji nitawasiliana nao kivipi? maana kila kitu kipo hapa JAMVINI
 
Jamani eeehe!! mi nimishindwa sasa wajulisheni haoo Mods wanisajili sasa kwani hata sijui nianzie wapi??? Kulia au Kushoto??????????????
 
hahahah heheeee, Prisoner leo umenipa raha... maana umefuata maelekezo kama yalivyosema!!!!

Its good BHT katoa maelekezo zaidi

nisaidie naona bado hajaelewa jamani!!! (nimeshindwa kujizuia imebidi nicheke De Novo LOL!!)
 
Nashukuru sana Mkubwa sasa Kwani jamaa si wameiona hii meseji nitawasiliana nao kivipi? maana kila kitu kipo hapa JAMVINI

Ndg Prisoner,
Samahani kwa kutokukupa maelekezo ya kutosha tangu mwanzo, nilijua ww ni mwenyeji kama sie wengine, pole sana. Fanya hivi:-
Tuma email kwa kutumia akaunti yako yoyote ile, kwenda kwa 'Invisible@jamiiforums.com'. Mweleze kwamba ww ni mwanachama wa JF na unaitwa 'Prisoner', uombe akupe email address ya jina lako la hapa JF. Yeye atakupa maelekezo yote muhimu.
Ni Hilo tu.
 
Naomba msamaha kwa tabia yangu mbaya,
Nimechekeshwa sana na mazungumzo ya idimi na prisoner..
yaani hadi machozi yamenitoka, wenzangu walipotaka kujua nina cheka nini, nikawaonyesha, wao ndio wamecheka kweli kweli.
Hakika ljumaa ya leo imekuwa nzuri sana kwangu.
 
Nashukuru sana hapa napumuzika nasubiri majibu.
 
Naomba msamaha kwa tabia yangu mbaya,
Nimechekeshwa sana na mazungumzo ya idimi na prisoner..
yaani hadi machozi yamenitoka, wenzangu walipotaka kujua nina cheka nini, nikawaonyesha, wao ndio wamecheka kweli kweli.
Hakika ljumaa ya leo imekuwa nzuri sana kwangu.

hahaaaaaaaaaaaa mie namlaumu De Novo ndo kaniponza nikamcheka Prisoner!!
 
Back
Top Bottom