Mbushuu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 2,172
- 3,392
Hahaa,mtt mzuri kama ww itabidi ufungiwe security system ya nguvu.Tehtehtehteh...... viko tu kama mapambo
Hahaa,mtt mzuri kama ww itabidi ufungiwe security system ya nguvu.Tehtehtehteh...... viko tu kama mapambo
Kwakweli....nitamwambia father house afanye hivyoHahaa,mtt mzuri kama ww itabidi ufungiwe security system ya nguvu.
Huitaji kumsumbua landlord mkuu,nipe tender ntakufungia buureKwakweli....nitamwambia father house afanye hivyo
Ni kweli mkuu, mie mwenyewe chumbani kwangu ni panga na jambia.......
Sasa wakati umefika wa kuwa na bastola.
Mie mambo ya kuisaidia polisi bila mshahara siwezi
Lol! Si unawaambia tu watu wasiojulikana walitaka kunivamia na mimi nikafyatua tu gizani bila hata ya kurenga.
Yes the colour is too darkHii ndio rangi ya bedroom yangu...wengi wananishangaa kwa hii rangi!
Nami nakubaliana na wewe, si sawa TV Chumbani,Kuvuta usingizi Bible au kitabu chochote kinafaa.
Watanzania Walio wengi wana lala store
Maisha yetu ya kiswahili TV chumbani is inevitable! Kugombania remote sitting room na housegirl au watoto sio sawa.Kuna ambao wanaona wanaona nisawa ila asilimia kubwa ya ambao nafahamiana nao wanaona sio sawa TV kuwepo chumbani
Mkuu uwe na Private room, kama ofisi, chumba cha maombi TV humo humo, na faragha zingine zisizo na usumbufu.Maisha yetu ya kiswahili TV chumbani is inevitable! Kugombania remote sitting room na housegirl au watoto sio sawa.
Unakaa zako chumbani unaangalia vipindi vyako wwakati wao wanaangalia cartoons.