Jinsi ya kupangilia chumba cha kupumzika

miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
1,514
Likes
2,590
Points
280
miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
1,514 2,590 280Nyumba ni urembo, nyumba ni mapambo, ili nyumba iweze kuvutia inahitaji mazingira yenye hadhi ambayo yanaweza kumvutia mtu kwa muonekano wake wa nje na ndani pia inaweza kumvutia mtu kutokana na rangi za chumba.

Watu wengi huweka mazingira safi jikoni, sebuleni na kusahau kuwa chumba cha kulala pia kinatakiwa kuwa safi muda wote kwani ni sehemu ambayo inatumiwa kwa mapumziko.

Ili kuweze kupumzika vizuri baada ya mizunguko ya kutwa nzima ni vizuri chumba kikawa katika muonekano mzuri ambapo sambamba na hilo uwepo mpangilio mzuri wa nguo na fenicha.

Chumba cha kulala hakitakiwi kuwa na vitu vingi, kinahitaki kuwa na hewa ya kutosha ili kumuwezesha mtumiaji kuweza kupata hewa safi pia inamsaidia mtumiaji kuweza kufanya usafi sehemu zote kutokana kuwepo kwa nafasi ya kutosha.

Epuka kujaza vitu vingi chumbani kama computer, meza viti, kapu la nguo chafu, kwani vitu hivyo vinaweza kuwekwa sehemu nyingine ya nyumba na chumba kubaki mahali pa kupumzika tu.

111-jpeg.632369
222-jpg.632370
 
Mama_Aheshimiwe

Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Messages
2,253
Likes
2,809
Points
280
Mama_Aheshimiwe

Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2014
2,253 2,809 280
 
Mr Makunduchi

Mr Makunduchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Messages
1,011
Likes
487
Points
180
Age
48
Mr Makunduchi

Mr Makunduchi

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2017
1,011 487 180Nyumba ni urembo, nyumba ni mapambo, ili nyumba iweze kuvutia inahitaji mazingira yenye hadhi ambayo yanaweza kumvutia mtu kwa muonekano wake wa nje na ndani pia inaweza kumvutia mtu kutokana na rangi za chumba.

Watu wengi huweka mazingira safi jikoni, sebuleni na kusahau kuwa chumba cha kulala pia kinatakiwa kuwa safi muda wote kwani ni sehemu ambayo inatumiwa kwa mapumziko.

Ili kuweze kupumzika vizuri baada ya mizunguko ya kutwa nzima ni vizuri chumba kikawa katika muonekano mzuri ambapo sambamba na hilo uwepo mpangilio mzuri wa nguo na fenicha.

Chumba cha kulala hakitakiwi kuwa na vitu vingi, kinahitaki kuwa na hewa ya kutosha ili kumuwezesha mtumiaji kuweza kupata hewa safi pia inamsaidia mtumiaji kuweza kufanya usafi sehemu zote kutokana kuwepo kwa nafasi ya kutosha.

Epuka kujaza vitu vingi chumbani kama computer, meza viti, kapu la nguo chafu, kwani vitu hivyo vinaweza kuwekwa sehemu nyingine ya nyumba na chumba kubaki mahali pa kupumzika tu.

View attachment 632369 View attachment 632370
Unampangilio mzuri wewe ngoja nije pm uniaabarishe
 
Mchumiajuone

Mchumiajuone

Member
Joined
Dec 15, 2016
Messages
59
Likes
28
Points
25
Age
47
Mchumiajuone

Mchumiajuone

Member
Joined Dec 15, 2016
59 28 25
Hii haituhusu sisi wa chumba kimoja.

Chumba kina kitanda, meza, jiko la mchina, madumu na ndoo za maji, beseni la vyombo, kiroba cha mkaa, kiroba cha unga, redio, tv ya kichogo na makablasha yote.
Kweli mkuu,wengine vyumba vyetu vya kulala ni sawa na kusema tunalala STOO.
 
EMMYGUY

EMMYGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Messages
8,177
Likes
19,545
Points
280
EMMYGUY

EMMYGUY

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2015
8,177 19,545 280
Nimeipenda hiyo, asante kwa ushauri.
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
3,893
Likes
3,160
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
3,893 3,160 280
Mambo mengine ni irrevant kabisa. Sijaona hapo ndoo za maji. Jiko, gunia la mkaa mafyekeo na vitu kibao
 
BIGstallion

BIGstallion

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
6,433
Likes
7,769
Points
280
BIGstallion

BIGstallion

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
6,433 7,769 280
Nice, sehemu ya kulala iwe nadhifu nawe uwe nadhifu mpaka upstairs...
 
Mtengwa II

Mtengwa II

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Messages
855
Likes
1,306
Points
180
Mtengwa II

Mtengwa II

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2017
855 1,306 180
Mbongo hata awe na chumba kikubwa vipi lazima kitanda atakiweka kwenye kona!!!
 
Forum statistics

Threads 1,238,987
Members 476,289
Posts 29,339,083