kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,764
- 3,940
Pakua video kutoka Youtube kupitia app ya UC browser
pakua video kutoka youtube kupitia app ya UC browser
Save app ya "Save from the net" katika simu yako, hiyo app itafute Google then add extension katika browser unayotumia hasa Google.
NB: Kuna baadhi ya nyimbo kutokana na hali miliki huwezi kuzidownload.
Ngoja nijaribu, nitakujuza
Katika simu You tube unaweza kudownload baadhi ya movie na kuziona offline, lakini kwenye computer sijaona option hiyo kwa YouTube! Nisaidieni hapo Niko gizani!
Then utaenda straight kwenye hiyo search tab au hata kufungua YouTube hapo ukitaka... Then utasearch unachotaka.Ukishamaliza kudownload hiyo app, utainstall kwa simu yako.
After kuinstall, ukiifungua itaonekana kama hivi... Default theme yake ni nyekundu fulani hivi sema mimi napenda black theme.View attachment 1252080
Baada ya kuchagua moja wapo, itagenerate links kwa ajili ya kudownload.Then utaenda straight kwenye hiyo search tab au hata kufungua YouTube hapo ukitaka... Then utasearch unachotaka.
Kwa mfano mimi nataka audio ya Usinikubali haraka ya Fid ft Matonya...
Zitakuja results hapo then nitachagua moja ninayoitaka.View attachment 1252083
After hapo, utaona kuna download links kwa ajili ya audio na download link kwa ajili ya video... Sasa kazi inabaki kwako.Baada ya kuchagua moja wapo, itagenerate links kwa ajili ya kudownload.
Check hii screenshot.View attachment 1252086
Mkuu nimeshapata jibuNamimi nasubiri maujanja