Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Copy link ya video or audio unayotaka kudownload then nenda kwenye browser yoyote na usearch y2mate (ikifunguka then utaina box la kupaste hiyo link (by clicking start utaletewa link kadhaa kulingana na quality ya video unayotaka.
 
Save app ya "Save from the net" katika simu yako, hiyo app itafute Google then add extension katika browser unayotumia hasa Google.

NB: Kuna baadhi ya nyimbo kutokana na hali miliki huwezi kuzidownload.
 
Ngoja nijaribu, nitakujuza
 
Katika simu You tube unaweza kudownload baadhi ya movie na kuziona offline, lakini kwenye computer sijaona option hiyo kwa YouTube! Nisaidieni hapo Niko gizani!
 
Nenda kwenye browser yeyote unatumia then google TUBEMATE then download hiyo kumbuka haipo playstore
 
Katika simu You tube unaweza kudownload baadhi ya movie na kuziona offline, lakini kwenye computer sijaona option hiyo kwa YouTube! Nisaidieni hapo Niko gizani!

Tafuta app inaitwa Save from the net search Google, ukimaliza add extension kwenye hiyo browser unayotumia Kama ni Mozilla, then ingia you tube pale kwenye option za video utaona alama kama mshale, unaanza kudownload
 
Haya twende step kwa step.

Kwa mimi natumiaga app inaitwa videorder. Why? Sababu ni simple sana kuitumia na yenyewe inacheza tu na link.

Through this app(Videorder) naweza download video/audio za Twitter, Facebook, Instagram, YouTube etc.

Ingia hapa kupakua videorder:

Ukishatoka hapo sasa...
 
Ukishamaliza kudownload hiyo app, utainstall kwa simu yako.

After kuinstall, ukiifungua itaonekana kama hivi... Default theme yake ni nyekundu fulani hivi sema mimi napenda black theme.
Screenshot_20191102-175414.jpeg
 
Ukishamaliza kudownload hiyo app, utainstall kwa simu yako.

After kuinstall, ukiifungua itaonekana kama hivi... Default theme yake ni nyekundu fulani hivi sema mimi napenda black theme.View attachment 1252080
Then utaenda straight kwenye hiyo search tab au hata kufungua YouTube hapo ukitaka... Then utasearch unachotaka.

Kwa mfano mimi nataka audio ya Usinikubali haraka ya Fid ft Matonya...

Zitakuja results hapo then nitachagua moja ninayoitaka.
Screenshot_20191102-175456.jpeg
 
Then utaenda straight kwenye hiyo search tab au hata kufungua YouTube hapo ukitaka... Then utasearch unachotaka.

Kwa mfano mimi nataka audio ya Usinikubali haraka ya Fid ft Matonya...

Zitakuja results hapo then nitachagua moja ninayoitaka.View attachment 1252083
Baada ya kuchagua moja wapo, itagenerate links kwa ajili ya kudownload.

Check hii screenshot.
Screenshot_20191102-175507.jpeg
 
Hivi unawezaje kudownload video YouTube na kusave kwenye flash disk?

Msaada please.
 
Namimi nasubiri maujanja
Mkuu nimeshapata jibu

YouTube wao hawaruhusu ila hawana shida na third party kudownload zile YouTube video ambazo wenyewe wameruhusu kuwa downloaded . ingia YouTube downloader yeyote ambayo sio Mali ya YouTube itumie hiyo ku download. Ziko kibao, una download bila shida.
 
Sijaelewa swali vizuri, huwa natumia applications za kudownload kwa njia ya simu kisha nahamishia (kwa kutumia waya wa chaji ya simu)kwa laptop kisha navuta kwa flash.
 
Back
Top Bottom